lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Sawa kabisa ,Mimi kama mimi, kwa heshima yake yeye kama yeye, ambaye aliaminiwa kuishika nafasi ya Rais wa nchi yetu katika awamu ya 5, kesho sintakuja jukwaani kwa ajili ya maoni yoyote yule kuhusu yeye.
Nathamini nafasi ya familia katika maombolezo, kumbukizi na hata kusheherekea mazuri yake kama mume, baba wa familia, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, kaka, mpwa, rafiki, jamaa wa karibu, mwana jumuiya, muumini, mteja, mpangaji, mlipa kodi, kiongozi wa CCM, dikteta, muimla, dhalimu, fedhuli, amiri jeshi mkuu, Rais, Mwenyekiti Taifa wa CCM, jirani, mchepuko, na sifa nyingine yoyote ile aliyokuwa nayo kama binadamu wa kawaida mwenye sifa ya kuwa "possessed to many societies" na jina ake kubadilika kutokana na matakwa ya wakati.
lkn kumbuka kua mchuma janga hula na WA kwao.