Pre GE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tungekuw tunaongozwa na lile dubwana sasa hivi ningekuwa napembea najisemea mwenyewe kama chizi. Shukrani Samia sasa hivi maisha yangu mazuri nimepata ajira serikalini na mke wangu alienikimbia kwa ukata karudi.
Yule jamaa yeye alukuw nawaza barabara tu
 
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono!
 
Achana na maelezo na mbwembwe nyingi!! Mambo yameharibika mno
 
Kwa hiyo Mabeyo ni msaliti?
 
Bora umewaelewesha mkuu. Kuna watu Wana maono ya muda mfupi wakipata changamoto midogo wanafikiria njia rahisi ya kutatua ambayo mara nyingi ina athari kubwa kuliko faida.
 
100% ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Achaa ubabaishaji wwe, Urais ni taasisi hata angekaa nani pale,bado mambo yatakwenda vile yalivyo!!
 
Kelele za chura hizo.
We baki kulalama huku watu tunafurahia maisha pengine kuliko kipindi chochote tokea nchi hii ipate uhuru. Labda kipindi cha Mwinyi tu
 
Imeniuma Tsh 30000 kupata lts 8. Za petrol.
Mwendazake aliacha 2,500 kwa lita na bado tulishindwa kununua.
Leo hii bei ya mafuta juu lakini magari mapya yanaongezeka, petrol station kila kona, foleni ya magari mitaani ndo usipime.
Unajifunza nn hapo.
 
Wanasema amefungua milango kumbe Msoga ndiyo ina master key
 
Mwendazake aliacha 2,500 kwa lita na bado tulishindwa kununua.
Leo hii bei ya mafuta juu lakini magari mapya yanaongezeka, petrol station kila kona, foleni ya magari mitaani ndo usipime.
Unajifunza nn hapo.
Nimejifunza kua usiseme hatuna pesa,sema sina pesa!!
 
Achana na maelezo na mbwembwe nyingi!! Mambo yameharibika mno
Kwamba huyo ambaye angekua replacement ya Samia mfano Mwigulu au Nape ndio ingekua better? CCM haijawahi chagua Rais based on uzalendo au uchapakazi ila inaangalia urahisi wa kuiba. Ni ajabu watu kuwaza eti Samia asingekua Rais basi angepewa "kichaa" kama Kabudi au Bashiru!!
 
Una mwanasheria? Haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…