Pre GE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna watu hawajalipwa pesa za mwezi wa 4 mpaka leo tarehe 6.

Mabeyo hii kimeo ulituletea,Mungu ndio anajua.
Kimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tu
 
Makosa hayo ya kina Ndugai hayahalalishi udhaifu wa mamako huyu
 
Kimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tu
Kazi yako hiyo itakufanya uwe masikini daima
 
Uhuru ni ule ulioletwa 1961 ndo mana unajisikia hivyo. JPM alikuwa analetea heshima hii nchi dhidi ya walafi, wauza unga, wala rushwa, wazembe, wenye vyeti feki, mishahara hewa, wakwepa kodi. Ukiona unamchukia basi ujue wewe ni mmoja katika hayo makundi
 
Mbona alimteua tena 2020? Kama JPM mnamuita genius na ndio kamleta Samia mnayesema ni dhaifu basi JPM hana huo ugenius mnaompamba humu.
Mamayo huyu ni kimeo bhna!

Kina makamba wanajipigia tu nchi huku nae akishinda uarabuni kunadi rasilimali za nchi yetu
 
Waliomfanya aliopo awepa wao waliangalia katiba ambayo imewahi itwa kijitabu, tusilam au kuwalaum nao walitenda haki kwa njia moja au nyingine ,ni ajali imelipata taifa ila kama isingekua hivi wenda pia nchi ingekuwa kwenye mkwamo wa kikatiba na wenda madhara yangekua makubwa , limeisha tokea swala hapa wenye nchi nikuunganisha nguvu moja basi.

Hata kwenye biashara zipo hasara hutokea

Mungu mwema siku zote hakuna sababu ya kulaumiana ,tusonge mbele ukombozi hu karibu sana asema Bwana
 
Hebu weka themes vizuri tukuelewe unamaanisha nini!!!
Itakuwa hujaota meno, bimkubwa anakutafunia weee kazi yako kumeza tu, leo mazeri kagoma kukutafunia!! Ukiwaza kidogo tu unapata maana ya anachokisema
 
Kimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tu
Chawa wote mtapewa zawadi ya waume kila mmja kwa kazi nzuri ya kusifu
 
Pale kimara palipovunjwa nyumba kwa ajili ya barabara leo hii pameuzwa kiholela panajengwa shell kibao
 
Yahani Watanzania hata hawajui wanataka Nini....?
Yahani ukisoma hizi comments humu ndani yahani unasikitika tu...sijui tumekuaje jamani.
Anyway Mungu atusaidie.
 
Yahani Watanzania hata hawajui wanataka Nini....?
Yahani ukisoma hizi comments humu ndani yahani unasikitika tu...sijui tumekuaje jamani.
Anyway Mungu atusaidie.
Hivi unadhani tulihitwji udikteta wa jiwe?

Au unadhani tunahitaji uzembe na unafiki wa mazeri??

Hapana. Tunataka kiongozi atakayefuata misingi ya kiuongozi na kuwa kiongozi imara.
 
Chawa kikongwe Lucas Mwasambwanda na kipara kipya bila akili ni Sawa tako...utasikia huyu mhaini anywongwe
 
Unaona ni sawa rais kusafiri kimya kimya Tena siku ya muhimu kama ile?!
Unaquote hoja ya ndugai unajibu kuhusu Safari? Una akili kweli? Soma nilichoandika hapo je kinaendana na ujinga unaoreply?

No wonder ni mfuasi wa JPM, zero reasoning
 
Makosa hayo ya kina Ndugai hayahalalishi udhaifu wa mamako huyu
Ndio nasema Ndugai naye ni mnafiki tu usimtumie kama reference maana baada ya JPM kufariki alimgeuka na kuanza kumkejeli kuhusu bandari na demokrasia!!
 
Mimi sipo katika hayo makundi ila sijawahi mkubali hata siku moja!!
 
Yes watavishwa nishani za heshima
 
Yahani Watanzania hata hawajui wanataka Nini....?
Yahani ukisoma hizi comments humu ndani yahani unasikitika tu...sijui tumekuaje jamani.
Anyway Mungu atusaidie.
Jpm alikuwa shetani jua hilo
 
Ndugai Oyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…