THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana.
Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa inayosema simba ishawahicheza Confederation Cup Finali anionyeshe hapa.
Yani wamekaa wakaona Yanga kavunja mwiko kavuka Robo so hayana cha kujivunia tena yakaibua swala eti yashawahi cheza fainali ya hili kombe yani hili swala limeibuka juz tu ila mwez mmoja nyuma halikuepo na yalikua full kujivunia ashafika Robo.
Yani taarfa za makolo zipo kama ugunduzi wa madini hazijulikan zinaibuka tu shwaaa. Nikawaza kama hawa wamekuja na hili ambalo mwez mmoja walikua hawalisemi coz walikua wanajua Yanga ni kama wao hawezi vuka robo amevuka yameshindwa kujitetea yamekuja na issue eti yashawahi cheza fainal😂😂
Ipo siku Yanga akitwaa Caf Champions League kabla ya Simba yatasema yashawahi twaaa Nayo tuwen makini.