Ipo siku Yanga ikitwaa CAFCL Simba watasema washatwaa pia hilo kombe, tuweni nao makini

Ipo siku Yanga ikitwaa CAFCL Simba watasema washatwaa pia hilo kombe, tuweni nao makini

IMG-20230501-WA0002.jpg
 
TATIZO mmeamza kushabikia mpira JUZI.

Mmeamza kushabikia mpira Baada ya kuingia Betting.
Instagram.
Facebook.
TikTok nk.

Sisi tulianza kufuatilia mpira zamani tunajua Simba AMECHEZA Fainali ya kombe la washindi CAFCC 1993.

AMECHEZA nusu Fainali ya CAFCL 1974.

ENDELEENI KUDANGANYWA NA YULE ALIYESEMA HAMNA AKILI ALAFU MMEMPOKEA.
Tena waliahidiwa Magari aina ya CHAI MAHARAGE na Azim dewj mfadhili wa simba kipindi kile.
Kama wangechukuwa ndoo..kila mchezaji angepewa gari ambazo ndy zilikuwa daladala kwa kipindi kile..

Nimegunduwa kwamba mashabiki wengi wa Yanga ni wale mashabiki OYAA OYAA ambao hawana wanalojuwa Zaidi ya kufata mkumbo.
 
Mkuu jibu hoja za mleta mada.Asikilizwe
 
Tena waliahidiwa Magari aina ya CHAI MAHARAGE na Azim dewj mfadhili wa simba kipindi kile.
Kama wangechukuwa ndoo..kila mchezaji angepewa gari ambazo ndy zilikuwa daladala kwa kipindi kile..

Nimegunduwa kwamba mashabiki wengi wa Yanga ni wale mashabiki OYAA OYAA ambao hawana wanalojuwa Zaidi ya kufata mkumbo.
Okay shabiki la Team ya Robo..subirin wachukue ndoo wwnzenu nyie endeleeni kufa kiume
 
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana.
Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwez mmoja uliopita kama kuna taarfa inayosema simba ishawahicheza Confederation Cup Finali anionyeshe hapa.
Yani wamekaa wakaona Yanga kavunja mwiko kavuka Robo so hayana cha kujivunia tena yakaibua swala eti yashawahi cheza fainali ya hili kombe yani hili swala limeibuka juz tu ila mwez mmoja nyuma halikuepo na yalikua full kujivunia ashafika Robo.
Yani taarfa za makolo zipo kama ugunduzi wa madini hazijulikan zinaibuka tu shwaaa.
Nikawaza kama hawa wamekuja na hili ambalo mwez mmoja walikua hawalisemi coz walikua wanajua Yanga ni kama wao hawez vuka robo amevuka yameshindwa kujitetea yamekuja na issue eti yashawahi cheza fainal😂😂
Ipo siku Yanga akitwaa Caf Champions League kabla ya Simba yatasema yashawahi twaaa Nayo tuwen makini.
#🦁MACHIZI
Historia haifutiki kwa unafiki......walipo Yanga hivi sasa Simba walishapita hapo, wao walifika fainali. Yanga hatujuwi hatma yao kwani wako nusu fainali. Tatizo la vijana waliozaliwa 2005 kama msemaji wa Yanga ni hili, wanaamini ya jana na hawasomi ili kujuwa zaidi.
 
Ulikua na Umri gani?
 
TATIZO mmeamza kushabikia mpira JUZI.

Mmeamza kushabikia mpira Baada ya kuingia Betting.
Instagram.
Facebook.
TikTok nk.

Sisi tulianza kufuatilia mpira zamani tunajua Simba AMECHEZA Fainali ya kombe la washindi CAFCC 1993.

AMECHEZA nusu Fainali ya CAFCL 1974.

ENDELEENI KUDANGANYWA NA YULE ALIYESEMA HAMNA AKILI ALAFU MMEMPOKEA.
Kwa hiyo mmeishaingia nusu mara mbili kumbe mbona mlikua hamsem before younger kufikia hiyo hatua

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom