Ipo siku Yanga ikitwaa CAFCL Simba watasema washatwaa pia hilo kombe, tuweni nao makini

Tena waliahidiwa Magari aina ya CHAI MAHARAGE na Azim dewj mfadhili wa simba kipindi kile.
Kama wangechukuwa ndoo..kila mchezaji angepewa gari ambazo ndy zilikuwa daladala kwa kipindi kile..

Nimegunduwa kwamba mashabiki wengi wa Yanga ni wale mashabiki OYAA OYAA ambao hawana wanalojuwa Zaidi ya kufata mkumbo.
 
Mkuu jibu hoja za mleta mada.Asikilizwe
 
Okay shabiki la Team ya Robo..subirin wachukue ndoo wwnzenu nyie endeleeni kufa kiume
 
Historia haifutiki kwa unafiki......walipo Yanga hivi sasa Simba walishapita hapo, wao walifika fainali. Yanga hatujuwi hatma yao kwani wako nusu fainali. Tatizo la vijana waliozaliwa 2005 kama msemaji wa Yanga ni hili, wanaamini ya jana na hawasomi ili kujuwa zaidi.
 
Ulikua na Umri gani?
 
Kwa hiyo mmeishaingia nusu mara mbili kumbe mbona mlikua hamsem before younger kufikia hiyo hatua

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…