Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.

Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.

Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.

Timu hii hupewa majina mengi.

Timu hii inasimamia uzalendo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Oyaaaa Tuwacheeee Na Mama Yetu, Nyinyi Mbona Tuliwaacha Na Rais Wenu Bhana Tulikuwa Hatuwaingiliiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]
Hakuna namna hadi mtuelewe
 
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.

Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.

Timu hii inasimamia uzalendo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Naona unajishuku. Haya ndio matatizo ya kufumbia macho viongozi madhalimu, saa hii mmeishia kupagawa.
 
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.

Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.

Timu hii inasimamia uzalendo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Na hapa ndio ninaposema CCM itaendelea kuwa juu miaka100

Jingalao kadi za uanachama zinapatikanaje na mie nijiunge rasmi?

Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.

Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.

Timu hii inasimamia uzalendo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nachoshukuru Sukuma gang tayari imesambaratika yaani hivo tu
 
Hiyo ni Team ya bavicha ...mimi ni Team wazalendo
Sukuma GANG / MATAGA mnatia aibu sana. Imewauma kuona BAVICHA tumefurahia UWEPO wa Rais Samia.
Mnachomfanyia mama kama ndio Uzalendo sawa. Ila nyie viumbe ni wanafiki sana.
 
Back
Top Bottom