Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hii timu ni ile inaitwa sukuma gangHii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.
Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.
Timu hii inasimamia uzalendo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!