Wazalendo ndiyo hao sukuma gang wameanza kurusha miguu kama kuku aliyekatwa kichwa.Hiyo ni Team ya bavicha ...mimi ni Team wazalendo
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.
Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.
Timu hii inasimamia uzalendo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama JIWE tu mlimpa mitano tena akayeyuka itakua hiyo 60?ccm iko imara miaka yote, kidumu chama cha mapinduzi, miaka 60 tena!
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.
Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.
Timu hii inasimamia uzalendo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nachoshukuru Sukuma gang tayari imesambaratika yaani hivo tuHii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.
Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.
Timu hii inasimamia uzalendo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hakuna team wazalendo vilaza kama weweHiyo ni Team ya bavicha ...mimi ni Team wazalendo
Sukuma GANG / MATAGA mnatia aibu sana. Imewauma kuona BAVICHA tumefurahia UWEPO wa Rais Samia.Hiyo ni Team ya bavicha ...mimi ni Team wazalendo
Lioneni hili mjane nalo lilivyo nafiki, yaani toka Rais Samia ale kiapo, kila siku linasema linaenda kuchukua kadi. MATAGA nyie ni wanafiki tu.Na hapa ndio ninaposema CCM itaendelea kuwa juu miaka100
Jingalao kadi za uanachama zinapatikanaje na mie nijiunge rasmi?