Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

Hii timu ni ile inaitwa sukuma gang
 
Lioneni hili mjane nalo lilivyo nafiki, yaani toka Rais Samia ale kiapo, kila siku linasema linaenda kuchukua kadi. MATAGA nyie ni wanafiki tu.

Habari ndio hiyo
Unaumia eeeee
Jinyonge basi😆😆😆😆😆😆
 
Baada ya kuhakikishiwa buku saba zitaendelea kumwagika...kwanini mapambio yanyamaze ?
 
Yatima hadeki bali hujifariji tu kuwa kuna siku baba atarudi na anatusikia.
 
Halafu kuna Team nyingine ya CCM inayomhujumu humu humu JF, mbona kazi mko nayo aisee
 
sku tanzania kutakua na upinzani thabiti basi utatokea ccm
 
Hakuna namna hadi mtuelewe
Sky Eclat mbona MATAGA wameamua kukomaa na marehemu? Kwanini hawataki kuamini kwa sasa' Rais wa nchi ni Samia? Wala hawataki kumheshimu bali wamebaki kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Anza na Wakudadavuwa Nebuchadinezzer jingalao Idugunde etc etc. kipara kipya amejitoa kwenye kundi hili, sijui kastukia nini.
Ombi langu kwako ni kwamba iliwezekana uwatafutie mtaalaam wa akili ili awanusuru. Kwanza wajue JPM is no longer na no gap observed so far and won't be observed. Wamtambue Mama Samia kuwa ndiye Rais wa Jamhuri sasa. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…