Ipokee hii Orodha ya Wasanii 10 bora wa muda wote Duniani (Greatest Of All Time)

kwenye Bongo Fleva wakali wa muda wote list yangu ni hii

#1 Prof Jay
#2 Jay Moe
#3 Jay Dee
#4 Sir Nature
#5 Ferooz
#6 Solo Thang
#7 Dully Sykes
#8 Mangwea
#9 Mwana Fa
#10 Afande Sele
List iko poa, ila napinga kwa Jay Moe, Solo Thang na Ferooz. Ni wasanii wakali, ila hawakua na mafanikio makubwa plus longevity ya kuwaweka hapo.

Kwa Jay Moe, weka Fid Q.

Kwa Ferooz weka Diamond.

Kwa Solo Thang weka Mr Blue.
 
N

Bila Bob Marley ni uzushi mtupu
 
1. Bob Marley hayupo
2. Celine dion hayupo
3. Kama umaweka band, westlife hawapo
4. Abba hawapo,

And who the hell is janet Jackson in tjat list?
 
List iko poa, ila napinga kwa Jay Moe, Solo Thang na Ferooz. Ni wasanii wakali, ila hawakua na mafanikio makubwa plus longevity ya kuwaweka hapo.

Kwa Jay Moe, weka Fid Q.

Kwa Ferooz weka Diamond.

Kwa Solo Thang weka Mr Blue.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿค“๐Ÿค“
 
kwenye Bongo Fleva wakali wa muda wote list yangu ni hii

#1 Prof Jay
#2 Jay Moe
#3 Jay Dee
#4 Sir Nature
#5 Ferooz
#6 Solo Thang
#7 Dully Sykes
#8 Mangwea
#9 Mwana Fa
#10 Afande Sele
๐Ÿค“๐Ÿ˜ƒ

Ngoja nipange ya kwangu...
 
Itachukua karne kutokea msanii kama Michael Jackson pamoja na madhaifu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ