SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
List iko poa, ila napinga kwa Jay Moe, Solo Thang na Ferooz. Ni wasanii wakali, ila hawakua na mafanikio makubwa plus longevity ya kuwaweka hapo.kwenye Bongo Fleva wakali wa muda wote list yangu ni hii
#1 Prof Jay
#2 Jay Moe
#3 Jay Dee
#4 Sir Nature
#5 Ferooz
#6 Solo Thang
#7 Dully Sykes
#8 Mangwea
#9 Mwana Fa
#10 Afande Sele
Kwa Jay Moe, weka Fid Q.
Kwa Ferooz weka Diamond.
Kwa Solo Thang weka Mr Blue.