IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Naunga mkono hoja comrade
Yaani ata 480i tumewapendelea. Highest Quality yao ni 360 pixels.
Screenshot_20241221-202056.png

Kumbuka hii Video ya YT ndio same quality na wanayorusha kwenye TV.

Kusema kweli wanatia aibu.
 
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank haiwezekani? Mbona mna assets nyingi tu za kipata mikopo mikubwa?

Mnachotakiwa kufanya ni ubora wa Video za vipindi vyenu kuwa na 4K-6K pia mtafute na Graphics Designer mzuri atengeneze longo zenu kwa ubora wa 4K-6K acheni kufanya mambo kienyeji
na watangazaji wao waache kuvaa yale mashati na tai kwa kuchomekea kama wametoka kishumundu leo. wajifunze tu kwa azam na wengine.
 
Nimefanya kazi ITV Miezi 9 nikaacha kumejaa wazee wabishi sana kuanzia upande wa sound hadi IT na graphics wamejaa wazee wa kichaga tu miyeyusho sana hao
Vipi kuhusu mishahara kucheleweshwa, halafu kingine najiuliza Mzee Mengi si aliacha asset nyingi, kama bonite sahivi inauza soda nyingi sana, si wachukue hela waboreshe itv

Nafikiri watoto wa mengi wanaona biashara ya tv bongo haina faida, so wanaacha kupeleka pesa huko Vincenzo Jr Mr Why
 
Mishahara wanalipa kwa wakati mkuu naona labda wameona upande ule hauna faida kwa ITV ila upande wa eatv kule yule mwanae wa kike anasimamia vizuri sana
 
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu.

Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank haiwezekani? Mbona mna assets nyingi tu za kupata mikopo mikubwa?

Mnachotakiwa kufanya ubora wa Video vipindi vya vyenu kuwa na 4K-6K pia mtafute na Graphics Designer mzuri atengeneze longo zenu kwa ubora wa 4K-6K acheni kufanya mambo kienyeji.
Kumbe nawe unakukwaza mkuu.
Picha chafu sana. Sijui hawaoni chaneli za wenzao.
Visijui vigezo vya super brand wanapataje hawa?
 
Back
Top Bottom