IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

We ni graphics designer umeomba kazi wakakupiga pin nini ?? kizazi cha ITV hakijui hata 4k, yani movie inatoka nzuri Full HD wao wanaenda kuchukua yenye 360p au 3gp iliyotafsiriwa na Dj Murphy... Yaani unaweza kulia ila hii ndio Tanzania.
 
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank haiwezekani? Mbona mna assets nyingi tu za kipata mikopo mikubwa?

Mnachotakiwa kufanya ni ubora wa Video za vipindi vyenu kuwa na 4K-6K pia mtafute na Graphics Designer mzuri atengeneze longo zenu kwa ubora wa 4K-6K acheni kufanya mambo kienyeji
Nilidhani ni ubovu wa macho yangu ndio maana sioni picha clear
Kumbe kweli macho yangu yapo sahihi.
 
Back
Top Bottom