super brand Africa mashariki hii tuzo imedumu miaka na miaka sasa tuseme imetosha . IPP media inatakiwa kufanya reforms katika kuboresha na kumtumia ubunifu mwingine ili kuvutia watazamaji, imejisahau sana mnafikiri bado tupo katika zama za analogy. Haina ubishi watangazaji wote magwiji waliotokea Tanzania nyinyi ndio mmewapika ,hata wanasiasa wengi, ma celebrities kama wote ipp media ndio imewafanya wafike hapo walipo . IPP media ndio baba na mama kwa media zote Tanzania , jambo la msingi fanyeni maboresho , ili kuendana na soko la ushindani wa sasa .