IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

🤝

Sasa angalia hy picha ya pili hapo utaona imeandikwa neno DIGISUPER 100 then angalia ile picha niliyoiweka Mm utaona ni DIGISUPER 76 nadhani hapo utaona kuna utofauti na ndo hapo napozungumzia teknolojia ya ndani ila muundo n ule ule/camera ni ile ile.

Video ambayo nimesema Siwez kuipost hapa ambayo ndio camera za azam hizi mpya za juzi hapa yenyewe ni Ultra HD DIGISUPER 90 zingatia neno ULTRA HD DIGISUPER 😂 hii ultra HD sio HD hii tuliyozoea siku zote

Cc Fake P
😊😊 Kwahiyo mbaga hizi ni za studio Za mipira tu? Ma video director wa miziki wanaweza tumia pia?
 
Back
Top Bottom