IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

na watangazaji wao waache kuvaa yale mashati na tai kwa kuchomekea kama wametoka kishumundu leo. wajifunze tu kwa azam na wengine.
 
Nimefanya kazi ITV Miezi 9 nikaacha kumejaa wazee wabishi sana kuanzia upande wa sound hadi IT na graphics wamejaa wazee wa kichaga tu miyeyusho sana hao
Vipi kuhusu mishahara kucheleweshwa, halafu kingine najiuliza Mzee Mengi si aliacha asset nyingi, kama bonite sahivi inauza soda nyingi sana, si wachukue hela waboreshe itv

Nafikiri watoto wa mengi wanaona biashara ya tv bongo haina faida, so wanaacha kupeleka pesa huko Vincenzo Jr Mr Why
 
Mishahara wanalipa kwa wakati mkuu naona labda wameona upande ule hauna faida kwa ITV ila upande wa eatv kule yule mwanae wa kike anasimamia vizuri sana
 
Kumbe nawe unakukwaza mkuu.
Picha chafu sana. Sijui hawaoni chaneli za wenzao.
Visijui vigezo vya super brand wanapataje hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…