π€
Sasa angalia hy picha ya pili hapo utaona imeandikwa neno DIGISUPER 100 then angalia ile picha niliyoiweka Mm utaona ni DIGISUPER 76 nadhani hapo utaona kuna utofauti na ndo hapo napozungumzia teknolojia ya ndani ila muundo n ule ule/camera ni ile ile.
Video ambayo nimesema Siwez kuipost hapa ambayo ndio camera za azam hizi mpya za juzi hapa yenyewe ni Ultra HD DIGISUPER 90 zingatia neno
ULTRA HD DIGISUPER π hii ultra HD sio HD hii tuliyozoea siku zote
Cc Fake P