Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

aliharibu Nyerere au mvaa kobaz aliyerithi kiti ?
wewe ni mtoto , yaani hata huelewi sembe la yanga huelei kadi ya chakula huelewi chumvi kubadilisha na dhahabu , huelei kuvaa viatu matairi ya gari , huelewi kukaa foleni ya hata sigara, huelewi sigara kuuzwa kwa mkupuo , ni mengi ambayo laanatullahi Nyerere alituletea na mpaka leo mzimu wake bado unaitesa nchi kwa watu mnaomuabudu kama wewe
 
Iran piga hayo magaidi yaliyojificha Nchi jirani
 
Mnachokoseaga ni hapo hapo kwenye kuutaja taja uislam. Ubinadam na ustaaraabu wa kibinadam ni zaidi ya uislam.
 
Hii umesimliwa tu mkuu
 
Mzozo baina ya Iran, Iraq, na Pakistan ukiutazama kwa jicho la kidini kamwe hutaweza kuuelewa.
 
Iran piga hayo magaidi yaliyojificha Nchi jirani
Nguvu ya kupambana na Israeli si anaiharibu sasa, maana kwa sasa wangejielekeza kumpiga myahudi kwanza, au unasemaje ostadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…