jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wiki moja tu walikuwa wanaipigania Palestina Leo wamegeukana
Shetani hanaga umoja wala urafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki moja tu walikuwa wanaipigania Palestina Leo wamegeukana
wewe ni mtoto , yaani hata huelewi sembe la yanga huelei kadi ya chakula huelewi chumvi kubadilisha na dhahabu , huelei kuvaa viatu matairi ya gari , huelewi kukaa foleni ya hata sigara, huelewi sigara kuuzwa kwa mkupuo , ni mengi ambayo laanatullahi Nyerere alituletea na mpaka leo mzimu wake bado unaitesa nchi kwa watu mnaomuabudu kama wewealiharibu Nyerere au mvaa kobaz aliyerithi kiti ?
Iran piga hayo magaidi yaliyojificha Nchi jiraniUjinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.
Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! [emoji23] utadhani siyo waislamu kwa waislamu.
Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.
Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.
Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Silioni tatizo kama kuna maadui wamekimbilia kujificha huko.Hizo tunazilaumu pia, lakini muktadha wa uzi ni Iran ambayo ni nchi rafiki na Pakistan inashtukiza kupiga mabomu ndani ya ardhi ya Pakistan?
Mnachokoseaga ni hapo hapo kwenye kuutaja taja uislam. Ubinadam na ustaaraabu wa kibinadam ni zaidi ya uislam.Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.
Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! 😂 utadhani siyo waislamu kwa waislamu.
Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.
Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.
Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Hii umesimliwa tu mkuuwewe ni mtoto , yaani hata huelewi sembe la yanga huelei kadi ya chakula huelewi chumvi kubadilisha na dhahabu , huelei kuvaa viatu matairi ya gari , huelewi kukaa foleni ya hata sigara, huelewi sigara kuuzwa kwa mkupuo , ni mengi ambayo laanatullahi Nyerere alituletea na mpaka leo mzimu wake bado unaitesa nchi kwa watu mnaomuabudu kama wewe
Alikuwa waziri mkuu wa Pakistan na alikuwa mcheza kriketi maarufu duniani.Hamuyaoninmambo kwa upeo mpana. Mko finyu sana.
Unanfaham Imran Khan?
Kweli kabisa, sasa tupe kisa chake cha kuondolewa uwaziri mkuu.Alikuwa waziri mkuu wa Pakistan na alikuwa mcheza kriketi maarufu duniani.
Ulinisimulia wewe ?Hii umesimliwa tu mkuu
Mzozo baina ya Iran, Iraq, na Pakistan ukiutazama kwa jicho la kidini kamwe hutaweza kuuelewa.Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.
Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! [emoji23] utadhani siyo waislamu kwa waislamu.
Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.
Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.
Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Ingetakiwa kuwasiliana kwanza na Serikali ya Pakistan jinsi ya kukabiliana na hao inaowaona ni maadui,Silioni tatizo kama kuna maadui wamekimbilia kujificha huko.
"Speaking at a joint press conference, the then-Leader of the Opposition Shehbaz Sharif said the motion was presented because of the government's poor performance in economic and social indicators during the four years of Khan's ministry."Kweli kabisa, sasa tupe kisa chake cha kuondolewa uwaziri mkuu.
Upo mbali kabisa na dunia."Speaking at a joint press conference, the then-Leader of the Opposition Shehbaz Sharif said the motion was presented because of the government's poor performance in economic and social indicators during the four years of Khan's ministry."
![]()
No-confidence motion against Imran Khan - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Ngoja nieke kituo hapaKuna nchi zinatoka mbali sana zinakwenda kuuwa wengine kwa manowari za kivita, kwa madege ya kivita, kwa silaha nzito nzito, hatuwasikii mkizilaumu, hamzioni?
Kwa hiyo niko sayari gani..🤪🤪Upo mbali kabisa na dunia.
Pole sana.
Kusadikika.Kwa hiyo niko sayari gani..🤪🤪