Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tofauti pekee ugomvi wao ni wangumi.Waislamu wako tofauti tofauti
Mfano BAKWATA na Shehe Ponda
Wao wanasema ni dini ya haki na upendo,ila haya tunayoshuhudia yanaonyesha ni dini yenye unafiki sana.Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.
Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! [emoji23] utadhani siyo waislamu kwa waislamu.
Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.
Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.
Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Hatukurushiana mabomu lakiniUnaongelea umoja wa nchi za Kiislamu unasahau ya kwetu hapa EA community. Juzi tu watu wamepigana pini za ndege kutua. Na bado kuna mengi tu yapo. Kila mtu anajilinda haijalishi huo umoja.
Kwani hayo mabomu mnayo basi. Hizo missiles za kurushaina zinazoenda kilomita mnazo basi.Hatukurushiana mabomu lakini
😂 sasa tunauliza ule umoja wao wa kidini unawasaidia nini mkuuKwani hayo mabomu mnayo basi. Hizo missiles za kurushaina zinazoenda kilomita mnazo basi.
Ndizo politics za mashariki ya kati, msipoelewana mnadundana.
Nyie zenu mnawekeana vikwazo vya kibiashara. Lakini all in all ni kutokuelewana.
Swala sio kuwa au kutokua nayo point ni kwamba hatukupigana mbona unalazimisha Kama unaumia kwa nchi za kiislamu kupigana poleKwani hayo mabomu mnayo basi. Hizo missiles za kurushaina zinazoenda kilomita mnazo basi.
Ndizo politics za mashariki ya kati, msipoelewana mnadundana.
Nyie zenu mnawekeana vikwazo vya kibiashara. Lakini all in all ni kutokuelewana.
Twende taratibi tuchambuwe hoja yako.Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.
Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! 😂 utadhani siyo waislamu kwa waislamu.
Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.
Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.
Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Na mambo mengi sana aliharibu kabisa.Nyerere kwenye baadhi ya vitu aliona mbali sana
Kuna nchi zinatoka mbali sana zinakwenda kuuwa wengine kwa manowari za kivita, kwa madege ya kivita, kwa silaha nzito nzito, hatuwasikii mkizilaumu, hamzioni?Kurusha makombora nchi ya mwingine unafananisha na mambo ya biashara ya ndege ambayo yamekuwa resolved ndani ya mifa mfupi?
Wewe ndiye umeleta Uislam kwa kuleta OIC kwenye mjadala huu. Kilichowafanya wapigane si ni mmoja kudai kuwa magaidi wamemshambulia akashambulia maeneo yaliyo kwenye mipaka ya mwenzake.Swala sio kuwa au kutokua nayo point ni kwamba hatukupigana mbona unalazimisha Kama unaumia kwa nchi za kiislamu kupigana pole
Iraq alidai eti kuna silaha za maangamizi, ambao ukajulikana ni uongo. Afghanistan na Sudan ndizo alizishambulia kwa madai ya Osama bin Laden, wakati Osama alikuwa ni wakala wao wenyewe.Siasa za mashariki ya kati ni complicated. Mbona hukuuliza Saudia kuishambulia Yemen? Au ugomvi wa Iran na Saudia?
Kuna tofauti gani alichofanya Iran kushambulua maeneo ya anaodai walisababisha mashambulizi nchini mwake na kile alichofanya US kuishambulia Iraq kwa madai kuwa Osama kafichwa huko?
Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.
Kama OIC ndiyo chombo kinachounganisha nchi na kuzifanya ziwe kwenye umoja wa Kiislamu na zinazihakikishia nchi hizo kupata ulinzi na huduma kedekede, hicho anachokifanya Irani, amekiuka katiba ya OIC?Twende taratibi tuchambuwe hoja yako.
Naoona umechanganya mambo mengi sana kwa pamoja, tatizo lako ni Iran? au OIC au Tanzania au Iraq au Palestina?
Haya nasubiri jibu lako tuone kwa kina ulichotaka kukisema ni nini haswa.
Hao warabu wapo TANZANIA dada na Africa masharikiUislam siyo kama Ukristo, hakuna "shehe" wa mtu fulani au kanisa la mtu fulani.
Usitafasiri mambo ya Kiislam kwa kutumia ukristo ambao siyo dini, ni maamrisho ya wazungu wapo Ulaya na Marekani.
Hapa umeandika nini? We bibi shule ulienda kusomea ujinga?aliona mba sana"?
Hyo yote ya "ulinzi" na "huduma kedekede" na kuwa kuna "katiba" ya OIC umeyatowa wapi au unaota kukisia tu au unafananisha na oganaizesheni zingine?Kama OIC ndiyo chombo kinachounganisha nchi na kuzifanya ziwe kwenye umoja wa Kiislamu na zinazihakikishia nchi hizo kupata ulinzi na huduma kedekede, hicho anachokifanya Irani, amekiuka katiba ya OIC?