Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!

Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.

Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.

Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! [emoji23] utadhani siyo waislamu kwa waislamu.

Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.

Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.

Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Wao wanasema ni dini ya haki na upendo,ila haya tunayoshuhudia yanaonyesha ni dini yenye unafiki sana.
 
Kwani hayo mabomu mnayo basi. Hizo missiles za kurushaina zinazoenda kilomita mnazo basi.
Ndizo politics za mashariki ya kati, msipoelewana mnadundana.
Nyie zenu mnawekeana vikwazo vya kibiashara. Lakini all in all ni kutokuelewana.
😂 sasa tunauliza ule umoja wao wa kidini unawasaidia nini mkuu
 
Kwani hayo mabomu mnayo basi. Hizo missiles za kurushaina zinazoenda kilomita mnazo basi.
Ndizo politics za mashariki ya kati, msipoelewana mnadundana.
Nyie zenu mnawekeana vikwazo vya kibiashara. Lakini all in all ni kutokuelewana.
Swala sio kuwa au kutokua nayo point ni kwamba hatukupigana mbona unalazimisha Kama unaumia kwa nchi za kiislamu kupigana pole
 
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!

Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.

Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.

Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! 😂 utadhani siyo waislamu kwa waislamu.

Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.

Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.

Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Twende taratibi tuchambuwe hoja yako.

Naoona umechanganya mambo mengi sana kwa pamoja, tatizo lako ni Iran? au OIC au Tanzania au Iraq au Palestina?

Haya nasubiri jibu lako tuone kwa kina ulichotaka kukisema ni nini haswa.
 
Swala sio kuwa au kutokua nayo point ni kwamba hatukupigana mbona unalazimisha Kama unaumia kwa nchi za kiislamu kupigana pole
Wewe ndiye umeleta Uislam kwa kuleta OIC kwenye mjadala huu. Kilichowafanya wapigane si ni mmoja kudai kuwa magaidi wamemshambulia akashambulia maeneo yaliyo kwenye mipaka ya mwenzake.
Mbona wakati ndege zinazuiwa nchi hazikuwaza sisi wanajumuiya wa Afrika Mashariki?
Basi tusiende mbali, mbona Congo na Rwanda wanashambuliana wakati wote ni wanachama wa EAC?
Mwaka jana kama sio juzi hadi walishambuliana mpakani na bado majeshi ya Rwanda huwa yanaingia Congo. Kwa hiyo tuseme EAC nayo ni jumuiya ya kinafiki au sio?
 
Siasa za mashariki ya kati ni complicated. Mbona hukuuliza Saudia kuishambulia Yemen? Au ugomvi wa Iran na Saudia?
Kuna tofauti gani alichofanya Iran kushambulua maeneo ya anaodai walisababisha mashambulizi nchini mwake na kile alichofanya US kuishambulia Iraq kwa madai kuwa Osama kafichwa huko?
Iraq alidai eti kuna silaha za maangamizi, ambao ukajulikana ni uongo. Afghanistan na Sudan ndizo alizishambulia kwa madai ya Osama bin Laden, wakati Osama alikuwa ni wakala wao wenyewe.
 
Twende taratibi tuchambuwe hoja yako.

Naoona umechanganya mambo mengi sana kwa pamoja, tatizo lako ni Iran? au OIC au Tanzania au Iraq au Palestina?

Haya nasubiri jibu lako tuone kwa kina ulichotaka kukisema ni nini haswa.
Kama OIC ndiyo chombo kinachounganisha nchi na kuzifanya ziwe kwenye umoja wa Kiislamu na zinazihakikishia nchi hizo kupata ulinzi na huduma kedekede, hicho anachokifanya Irani, amekiuka katiba ya OIC?
 
Uislam siyo kama Ukristo, hakuna "shehe" wa mtu fulani au kanisa la mtu fulani.

Usitafasiri mambo ya Kiislam kwa kutumia ukristo ambao siyo dini, ni maamrisho ya wazungu wapo Ulaya na Marekani.
Hao warabu wapo TANZANIA dada na Africa mashariki
 
Kama OIC ndiyo chombo kinachounganisha nchi na kuzifanya ziwe kwenye umoja wa Kiislamu na zinazihakikishia nchi hizo kupata ulinzi na huduma kedekede, hicho anachokifanya Irani, amekiuka katiba ya OIC?
Hyo yote ya "ulinzi" na "huduma kedekede" na kuwa kuna "katiba" ya OIC umeyatowa wapi au unaota kukisia tu au unafananisha na oganaizesheni zingine?

Mbona kazi za OIC zipo wazi kabisa, ingia tu kwenye tovuti (website) yao utaziona:

Back
Top Bottom