Iran attacked Mossad base in Erbil

Ukiona mtu ama muislam anasema kwamba kuvaa hijab ni mila za kiarab eidha sio muislam ama hajui lolote kuhusiana na uislam

Uarabu sio uislam na uislam sio uarabu yaani wakurdi wao ndio waislam saaana kiasi kwamba wao pekee ndio wanaona kuvaa hijab sio uislam

Hakuna mkristo anaechukiwa na waislam bila sababu yaani hakuna na hakuna muislam ataechukia asiekua muislam bila sababu hunipigi hunianyang`anyi ardgi huni bughudhi kwenye kuabudu kwangu siwezi kukuchukia na nikikuchukia basi nakua automatically naenda kinyume ama anakua anaenda kinyume na uislam

Waislam wanaochukia wasiokua waislam wanapatikana sehem gani mzee hem nambie?
 
sema zile ballistic ukitizama video, zinavyoshuka kwa kweli Iran ipo mbali kijeshi, ile ni onyo kamili.
Sijaziona asee ila iran iko mbali sana mzee sio kitoto

Unadhani wamagharibi wanapenda kuiona iran ila wanajua wakiingia ile kazi watakayokutana nayo sio maskhara
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Duh!...hawa Mossad wana kambi mpaka Iraq?...
 
Nawa shangaa sana watu kuuona uarabu ndio uislam na kinyume chake
 
Sijaziona asee ila iran iko mbali sana mzee sio kitoto

Unadhani wamagharibi wanapenda kuiona iran ila wanajua wakiingia ile kazi watakayokutana nayo sio maskhara

View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk
Sijui hizi ni ballistic za aina gani, halafu accuracy yake na speed ni ya ajabu na kushangaza, ukitizama video vizuri na kwa umakini utaona missiles zinavyoshuka lakini hio speed ni hatari.

Hata kama kungekuwa na air defense system isingeona chochote,
 
Hehee hatari sana aseeee yaani haya madude yapo kwa ajili ya kuuana heheeee 😀
 
Pkk oparetion zao nyingi wanazeendesha nje ya Uturuki hivyo ni ngumu kuwamaliza.
 
Kasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee

Nyinyi mbuzi, mmekimbia uzi
Na wewe MT urudi hapa na id yako ya MK

Kwa hiyo Telegraph ni ya wavaa kobazi?

View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2F&source_ve_path=MjM4NTE&feature=emb_title
 
Unataka watu tushinde Jf kwani tunalipwa humu?!

Iran inasema inapiga base ya Mossad lakn matokeo yake wamemuua raia mfanyabishara wa Iraq Peshraw Dizayee,na familia yake (mke na watoto)
Sasa Hao agents wa Mossad waliopigwa hapo wako wapi?!
Mnaleta leta vihabari bila evidence

The Chairman of the Falcon Group and Developer of the $2.3 Billion Empire World Real Estate Development, Peshraw Dizayee and 4 Members of his Family have reportedly been Killed by the Iranian Ballistic Missile Attack which Targeted the City of Erbil in Northern Iraq.

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1747023923537936613?t=G3FP2pULGp-Km6nyCOq7Qw&s=19
 
Vyombo vyote vya habari vimeropoti kuwa makao makuu ya kijasusi ya Israel yaliyoko Kurdistan yamepigwa ila ww mlala njaa kutoka magwepande unaleta ngonjera,tena makao makuu yenyewe yalikuwa karibu na ubalozi wa Marekani.
Vyombo vilivyoripoti vime report taarifa inayodaiwa na Iran lakini ushahidi kamili ungepatikana kwenye 'aftermath' ya shambulizi.

The Chairman of the Falcon Group and Developer of the $2.3 Billion Empire World Real Estate Development, Peshraw Dizayee and 4 Members of his Family have reportedly been Killed by the Iranian Ballistic Missile Attack which Targeted the City of Erbil in Northern Iraq.
Hao Mossad wamekufa wa ngapi?! Matokeo yake wameua raia wa Iraq na familia yake.

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1747023923537936613?t=V7olrxjoF7mDbhzkUkTYPA&s=19
Iran imefanya shambulizi na Pakistan ikidai imeua magaidi matokeo yake wameishia kuua watoto lkn wao kila siku wanatunisha kobazi kuilaumu Israel kuua watoto kule Gaza

View: https://youtu.be/hxoSJN-gxRQ?si=g8eVyS_rgc6Nsr1l
 
Kasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.
Zinatunguliwa Iskander na Kinzal Hypersonic za mrusi sembuse hizo ballistic missiles za Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…