Iran attacked Mossad base in Erbil

Iran attacked Mossad base in Erbil

Wakurd ndio waislam pekee marafiki wa kweli kwa wakristo. Inasemekana wale mamajusi waliofuata nyota Bethlehem kumuona Mungu Yesu walikuwa wakurd. Jonah alikuwa kwa wakurd ninevi leo Mosul kwa wakurd. Na ndio wale wanaandamana Iran kukataa kuvaa hijab wanasema ni mila ya kiarabu. Fighting spirit ya wakurd ipo juu hasa wale wanawake wa Kobani.

God bless Israel and protect Israel

God bless and protect America.

God bless and protect the kurds.

God bless and protect Saudi Royal family.

Alwaz Malaria 2 Adiosamigo Bwana Utam ITR
Ukiona mtu ama muislam anasema kwamba kuvaa hijab ni mila za kiarab eidha sio muislam ama hajui lolote kuhusiana na uislam

Uarabu sio uislam na uislam sio uarabu yaani wakurdi wao ndio waislam saaana kiasi kwamba wao pekee ndio wanaona kuvaa hijab sio uislam

Hakuna mkristo anaechukiwa na waislam bila sababu yaani hakuna na hakuna muislam ataechukia asiekua muislam bila sababu hunipigi hunianyang`anyi ardgi huni bughudhi kwenye kuabudu kwangu siwezi kukuchukia na nikikuchukia basi nakua automatically naenda kinyume ama anakua anaenda kinyume na uislam

Waislam wanaochukia wasiokua waislam wanapatikana sehem gani mzee hem nambie?
 
sema zile ballistic ukitizama video, zinavyoshuka kwa kweli Iran ipo mbali kijeshi, ile ni onyo kamili.
Sijaziona asee ila iran iko mbali sana mzee sio kitoto

Unadhani wamagharibi wanapenda kuiona iran ila wanajua wakiingia ile kazi watakayokutana nayo sio maskhara
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Duh!...hawa Mossad wana kambi mpaka Iraq?...
 
Wakrudi ni waisilam hata kabla ya Ottoman kuanzishwa mkuu na uislam sio mila za waarabu kwa sababu hata hao waarabu dini waliletewa tu kama tulivyo letewa sisi na kipindi wanaletewa dini iliwakuta wana mila zao wakarazimika kuziacha ili wafuate hiyo dini.

Wakrudi wanachukiwa kwa sababu ni jamii yenye itikadi kama za Wayahudi yaani kujiona wao ni bora kuliko watu wengine kwa sababu baba wa Iman nabii Ibrahim alikuwa mkurdi.

Wakrudi wana akili za kawaida sana maana upande wa Teknolojia hawapo na kwenye suala la biashara na uchumi pia hawapo.
Nawa shangaa sana watu kuuona uarabu ndio uislam na kinyume chake
 
Sijaziona asee ila iran iko mbali sana mzee sio kitoto

Unadhani wamagharibi wanapenda kuiona iran ila wanajua wakiingia ile kazi watakayokutana nayo sio maskhara

View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk

Sijui hizi ni ballistic za aina gani, halafu accuracy yake na speed ni ya ajabu na kushangaza, ukitizama video vizuri na kwa umakini utaona missiles zinavyoshuka lakini hio speed ni hatari.

Hata kama kungekuwa na air defense system isingeona chochote,
 
Hehee hatari sana aseeee yaani haya madude yapo kwa ajili ya kuuana heheeee 😀
 
Mkataba wa Sykes-Picot kati ya Ufaransa na Uingereza ndio uliowanyima nchi Wakurdi.

Wakurdi hawapendwi na wahafidhina wa Uturuki kabisa nadhani uasi wa PKK unachangia hili, ila inashangaza Jeshi bora la Uturuki kushindwa kuimaliza PKK.

Baada ya Vita ya Syria kukolea, Assad aliondoa majeshi yake yote yaliyokuwa maeneo ya wakurdi hasa karibu na mpaka wa Uturuki hivyo Wakurdi wakabaki kupigana na Isis tu na sio Assad, nadhani alilenga kuwakera Waturuki.

Ila hapo Iraq Wakurdi wana sauti kiasi ndio maana PKK imejichimbia huko, hata kuweza kupata Rais wa nchi kutoka jamii yao ni ishara ya ushawishi wao mkubwa.
Pkk oparetion zao nyingi wanazeendesha nje ya Uturuki hivyo ni ngumu kuwamaliza.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk

Sijui hizi ni ballistic za aina gani, halafu accuracy yake na speed ni ya ajabu na kushangaza, ukitizama video vizuri na kwa umakini utaona missiles zinavyoshuka lakini hio speed ni hatari.

Hata kama kungekuwa na air defense system isingeona chochote,

Kasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee

Base ya Mossad😂😂😂😂

The Islamic Revolutionary Guard Corps of Iran is also claiming Responsibility now for the Missile Attack on the City of Aleppo in Northern Syria, stating that it Targeted several ISIS Facilities which contributed to the Terrorist Bombing against the Memorial Route for the Assassination of Qasem Soleimani in the City of Kerman which resulted in the Death of over 100 Iranians.

Nyinyi mbuzi, mmekimbia uzi
Na wewe MT urudi hapa na id yako ya MK

Kwa hiyo Telegraph ni ya wavaa kobazi?

View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2F&source_ve_path=MjM4NTE&feature=emb_title
 
Unataka watu tushinde Jf kwani tunalipwa humu?!

Iran inasema inapiga base ya Mossad lakn matokeo yake wamemuua raia mfanyabishara wa Iraq Peshraw Dizayee,na familia yake (mke na watoto)
Sasa Hao agents wa Mossad waliopigwa hapo wako wapi?!
Mnaleta leta vihabari bila evidence

The Chairman of the Falcon Group and Developer of the $2.3 Billion Empire World Real Estate Development, Peshraw Dizayee and 4 Members of his Family have reportedly been Killed by the Iranian Ballistic Missile Attack which Targeted the City of Erbil in Northern Iraq.

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1747023923537936613?t=G3FP2pULGp-Km6nyCOq7Qw&s=19
 
Vyombo vyote vya habari vimeropoti kuwa makao makuu ya kijasusi ya Israel yaliyoko Kurdistan yamepigwa ila ww mlala njaa kutoka magwepande unaleta ngonjera,tena makao makuu yenyewe yalikuwa karibu na ubalozi wa Marekani.
Vyombo vilivyoripoti vime report taarifa inayodaiwa na Iran lakini ushahidi kamili ungepatikana kwenye 'aftermath' ya shambulizi.

The Chairman of the Falcon Group and Developer of the $2.3 Billion Empire World Real Estate Development, Peshraw Dizayee and 4 Members of his Family have reportedly been Killed by the Iranian Ballistic Missile Attack which Targeted the City of Erbil in Northern Iraq.
Hao Mossad wamekufa wa ngapi?! Matokeo yake wameua raia wa Iraq na familia yake.

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1747023923537936613?t=V7olrxjoF7mDbhzkUkTYPA&s=19

Iran imefanya shambulizi na Pakistan ikidai imeua magaidi matokeo yake wameishia kuua watoto lkn wao kila siku wanatunisha kobazi kuilaumu Israel kuua watoto kule Gaza

View: https://youtu.be/hxoSJN-gxRQ?si=g8eVyS_rgc6Nsr1l
 
Kasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.
Zinatunguliwa Iskander na Kinzal Hypersonic za mrusi sembuse hizo ballistic missiles za Iran
 
Back
Top Bottom