Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ukiona mtu ama muislam anasema kwamba kuvaa hijab ni mila za kiarab eidha sio muislam ama hajui lolote kuhusiana na uislamWakurd ndio waislam pekee marafiki wa kweli kwa wakristo. Inasemekana wale mamajusi waliofuata nyota Bethlehem kumuona Mungu Yesu walikuwa wakurd. Jonah alikuwa kwa wakurd ninevi leo Mosul kwa wakurd. Na ndio wale wanaandamana Iran kukataa kuvaa hijab wanasema ni mila ya kiarabu. Fighting spirit ya wakurd ipo juu hasa wale wanawake wa Kobani.
God bless Israel and protect Israel
God bless and protect America.
God bless and protect the kurds.
God bless and protect Saudi Royal family.
Alwaz Malaria 2 Adiosamigo Bwana Utam ITR
Uarabu sio uislam na uislam sio uarabu yaani wakurdi wao ndio waislam saaana kiasi kwamba wao pekee ndio wanaona kuvaa hijab sio uislam
Hakuna mkristo anaechukiwa na waislam bila sababu yaani hakuna na hakuna muislam ataechukia asiekua muislam bila sababu hunipigi hunianyang`anyi ardgi huni bughudhi kwenye kuabudu kwangu siwezi kukuchukia na nikikuchukia basi nakua automatically naenda kinyume ama anakua anaenda kinyume na uislam
Waislam wanaochukia wasiokua waislam wanapatikana sehem gani mzee hem nambie?