Iran: Bunge limepiga kura kufunga njia ya bahari Strait of Hormuz

Iran: Bunge limepiga kura kufunga njia ya bahari Strait of Hormuz

Hizo hesabu zimeshapigwa kitambo na USA hakuna mjinga anaweza kuzuia watu wa dunia wateseke Kwaajili ya ugaidi wake....Iran Hana uwezo huo wa kuzuia huku ni kutapatapa tu
 
Israel kazi kwako

Saudi anakuna kichwa maana mafuta hataweza uza
 
Hapa nadhani Serikali yetu itaingilia kati kuacha kutoza ushuru vifaa vya kuunganisha magari yetu kutumia gas yetu ya Mtwara
 
Angola wese bei nafuu sana tuhamie huko kwa weusi wenzetu
 
Back
Top Bottom