Iran: Bunge limepiga kura kufunga njia ya bahari Strait of Hormuz

Iran anaenda kuzikwa kabisa, Ayatollah kashakabidhi madaraka kwa IRGC maana kaona kabisa atakuawa..!
 
Hizo hesabu zimeshapigwa kitambo na USA hakuna mjinga anaweza kuzuia watu wa dunia wateseke Kwaajili ya ugaidi wake....Iran Hana uwezo huo wa kuzuia huku ni kutapatapa tu
 
Israel kazi kwako

Saudi anakuna kichwa maana mafuta hataweza uza
 
Hapa nadhani Serikali yetu itaingilia kati kuacha kutoza ushuru vifaa vya kuunganisha magari yetu kutumia gas yetu ya Mtwara
 
Watafunga hadi vinywa pia siku si nyingi
 
Angola wese bei nafuu sana tuhamie huko kwa weusi wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…