Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

Yesu alisema "NAMNA WALIVYONITENDA, NA NYIE WATAWATENDEA HIVYHIVYO"

Na kweli Yahudi ni bingwa wa fitina, uchonganishi na kuumiza watu

Kwa mujibu wa misahafu ya wakristo, wafao kwa niaba ya wateswao watapokelewa mbinguni, wakavikwa taji za ushindi na kuketi upande wa kuume wa Mungu.

"Ole wao watesi wa wengine kwa maana hao watalia vilio na kusaga meno!"

Na hayo ndiyo yaliyo maneno ya bwana.

Mtumishi matunduizi au nasema uongo?
 
Nimeguswa kuandika Uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu.

Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia sisi ili tusipotee.

Yohana 3:16 - 17:

"Kwa maana jinsi hiibMungu aliupenda sana ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili tusipotee."

Tunafindishwa makanisani, na swali hili limezoeleka kufikisha ujumbe:

"nani anaweza kukubali kufa badala ya rafiki yake?"

Ama kwa hakika Yesu hakuwa na cha kupata kama yeye kwa kuja kutufia. Alikuwa na yote kwa baba yake. Lakini kwa kutupenda kwake tu, akakubali kuja kutufia ili tukapate kuokoka.

Huu ndiyo unaoitwa upendo wa agape.

Hebu tujikumbushe upendo walio nao Hezbollah, Iran, Houthi au wale wengine wa kule Iraq kwa ndugu zao wa Palestina walioko kwenye jitihada zao kuupata uhuru wao.

Kipi ambacho walikosa Hezbollah, Houthi au Iran kwenda kujiingiza kwenye sokomoko hili linaowagharimu vifo na hata vitisho vya kuteketezwa?

Hivi kwa matendo ya hawa ndugu kwa wapalestina, inahitajika nguvu kuuelezea upendo wa Yesu kwetu au hata tunaofunzwa makanisani kuwa nao, kuwaelekea wengine?
Wamejitoa uhai wao, ila ni kwa mambo ya kidunia zaidi, walitakiwa washauri na kuhakikisha njia za amani kuwapigania wasio na haki, kuliko kuangamiza binadamu wengine.
 
Wamejitoa uhai wao, ila ni kwa mambo ya kidunia zaidi, walitakiwa washauri na kuhakikisha njia za amani kuwapigania wasio na haki, kuliko kuangamiza binadamu wengine.

Mkuu wapalestina wanapigania uhuru wao Kwa muda mrefu:

IMG_1567.jpg


Njia zote za amani zimeshindikana. Tumeyaona haya huko Afrika Kusini, Mau Mau huko, nk.

Unadhani labda wapalestina wakubali kukaliwa Ili yaishe tu?

Ya kuwa kama vipi wageuze tu na shavu la pili, Kwa ajili ya ufalme wa mbinguni?
 
1. Wapi nimemwekea Yesu neno lolote? Ikikupendeza tafadhali unionyeshe hapo.

2. Watu wenye mahaba ya kupitiliza kama wewe huwakumbusha wakazue ubongo. Kuyachunguza maandiko haikuwa kwa "waberoya" peke yao.

3. Sasa nirejee kwa wapalestina na kukutaka usiwawekee maneno yako midomoni mwao:

View attachment 3119744

View attachment 3119745

View attachment 3119749

4. Au niendelee kukuwekea wayasemayo wapalestina ambayo dunia inayajua na labda kumbe ni kuto kuyajua kwako tu, ndugu?
Mkuu; Bila kuathiri hoja na kutoa nafasi kwa wachangiaji ; naomba usome comment # 17 iliyotolewa na satirical Yet Awesome hapo juu.
Kwa nyongeza HAMAS na Hezbollah wanatumia itikadi ya Uislam kuhalalisha hicho wanachokifanya i.e. hawaitambui hiyo hoja yako ya Upendo wa Agape.
Kwa maneno mepesi ni kwamba hoja uliyotoa ya upendo sio hoja ya HAMAS na Hezbollah ila ww umemwekea Yesu Kristo hiyo hoja ya Hamas na Hezbollah kitu ambacho sio sahihi. Ukristo unachota mafundisho yake kwenye Biblia ilhali Uislam unachota mafundisho yake kwenye Qur'ani na Hivi ni vitabu viwili TOFAUTI.
 
Aaah vitisho teleeeee kisa zile katuni anazozitungua Israel daily
Wewe huna adabu na Mungu! Ungelikuwa na adabu naye ungeliheshimu viumbe wake Mungu.

Huwezi kuita viumbe alivyoviumba mwenyewe Mungu katuni.
 
Mkuu; Bila kuathiri hoja na kutoa nafasi kwa wachangiaji ; naomba usome comment # 17 iliyotolewa na satirical Yet Awesome hapo juu.
Kwa nyongeza HAMAS na Hezbollah wanatumia itikadi ya Uislam kuhalalisha hicho wanachokifanya i.e. hawaitambui hiyo hoja yako ya Upendo wa Agape.
Kwa maneno mepesi ni kwamba hoja uliyotoa ya upendo sio hoja ya HAMAS na Hezbollah ila ww umemwekea Yesu Kristo hiyo hoja ya Hamas na Hezbollah kitu ambacho sio sahihi. Ukristo unachota mafundisho yake kwenye Biblia ilhali Uislam unachota mafundisho yake kwenye Qur'ani na Hivi ni vitabu viwili TOFAUTI.

1. Mkuu nitambue na kukupongeza kwa kuwa tayari kujadili kwa staha, uwazi bila kejeli wala kufuru.

2. Huyo Satirical Yet Awesome nimemjibu hoja Kwa hoja na upendo wote.

3. Sijui kama ungependa nikujibu Tena wewe hoja yake hii hapa au niku rejee ambayo kwangu ni post #27?

4. Hata hivyo wewe hudhani si sahihi kuwaongelea wao na kuwawekea hoja unazozisema?

5. Ninadhani rejea post #27 kwanza majibu yangu kwake Satirical Yet Awesome.
 
MZAHA
1. Yesu alikuwepo kabla ya ibrahimu je hao houth walikuwepo
2. Yesu alifufuka baada ya siku tatu je hao watafufuka
3. Upendo wa agape hauhusishi kumdhuru mwingine ili mwingine asaidike zaidi umesisitiza kuwa tuwapende zaidi wanao tukosea kuliko hata marafiki zetu


ULINGANIFU WA YESU na watu wengine
"nani anaweza kukubali kufa badala ya rafiki yake?"


1. Wapi nimesema Yesu hakuwepo kabla ya Ibrahim au hata wapi nimesema Houthi walikuwapo?

2. Wapi nimesema Yesu hakufufuka au kuwa hawa hawatafufuka?

3. Wapi nimepinga maana ya upendo wa agape au hata kumhusisha mtu nao?

4. Unatambua hawa watu si wa Imani yako? Kwa hiyo ungewataka wao wampende tu adui yao kwa kumgeuzia na shavu la pili milele, kila la kwanza linapopigwa?

5. ULINGANIFU WA YESU na watu wengine:

"Hawa wanakufa na hata hawafufuki baada ya siku ya tatu.

6. Anayeleta MZAHA si wewe?

7. Bila kulisahau swali la msingi:

"Vipi ndugu wewe unaweza kufa kwa ajili ya rafiki yako umpendaye?"
 
Kwani uko hapa kukusanya dini za watu?

Au kwani wapi mkristo ndiye ana gate pass ya kuandika lolote?

Jikite kwenye mada kama una hoja.
Huna hoja zaid ya propaganda toka lini wewe muislam ukaamini Yesu alikufa msalabani toka lini wewe muislam ukaamin biblia kama si unafk
 
Kazua ubongo JF-Expert Member!

Sijamfananisha Yesu na mtu.

Nimefananisha upendo wa Yesu kwetu, na wao kwa wapalestina.

Nimeweka angalizo pia la kuulizwa kuhusu utayari wangu kumfia rafiki yangu makanisani huko. Je wewe unaweza?

Nilidhani haiwezekani: "I am proven wrong!"
“Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini. ”
— 1 Timotheo 5:8


KATI YA ISRAEL NA (IRAN, HOUTH NA HEZBOLLA) NI NANI ANAYETUNZA WA NYUMBANI KWAKE?
 
“Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini. ”
— 1 Timotheo 5:8


KATI YA ISRAEL NA (IRAN, HOUTH NA HEZBOLLA) NI NANI ANAYETUNZA WA NYUMBANI KWAKE?

1. Kwa fungu hilo moja tu ndugu, ndiyo umemaliza kazi na hitimisho juu?

2. Kwani ungependa labda nikupe mangapi bila hata kudadavua, kukuonyesha vinginevyo?

a) Kutoka 20:13 - Usiue.
b) Marko 12.31 - Mpende jirani yako kama nafsi yako.
c) Yeremia 23:3 - Msiwatendee vibaya au ukatili wageni, yatima na wajane wala msimwage damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa.
d) Nk, au niendelee ndugu?

3. Kwani yahitaji kuandikia mate? Hawa hapa:

IMG_20241009_220656.jpg


4. Hadi hapo unamwona alivyokalia kuti kavu?
 
1. Kwa fungu hilo moja tu ndugu, ndiyo umemaliza kazi na hitimisho juu?

2. Kwani ungependa labda nikupe mangapi bila hata kudadavua, kukuonyesha vinginevyo?

a) Kutoka 20:13 - Usiue.
b) Marko 12.31 - Mpende jirani yako kama nafsi yako.
c) Yeremia 23:3 - Msiwatendee vibaya au ukatili wageni, yatima na wajane wala msimwage damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa.
d) Nk, au niendelee ndugu?

3. Kwani yahitaji kuandikia mate? Hawa hapa:

View attachment 3120265

4. Hadi hapo unamwona alivyokalia kuti kavu?
Kitu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Israel wanalinda vitu viwili 1: raia 2: ardhi hivyo watafanya lolote kuvilinda.

The same kwa parestina ila hamas hezbola na houth wao wamenunua ugomvi kwa maslahi ya kidini tu nyuma ya Iran na islamic kingdom
 
Wewe wasema siwezi kupinga mtazamo wako. Fikra zako haziwezi pokea kitu kipya zaidi ya unachokiamini😅😅🙌🏿🙌🏿

Mkuu mbona hata miye nakuona hivyo hivyo:

"Wewe wasema siwezi kupinga mtazamo wako. Fikra zako haziwezi pokea kitu kipya zaidi ya unachokiamini😅😅🙌🏿🙌🏿"

Au ulitaka nikubaliane na wewe tu?

Hoja hupingwa kwa hoja!
 
Yesu hakuwa mjinga kama Hezbollah na Iran.

Sababu ya Yesu kufa ni sababu ya Kisiasa.

Wakati wa Yesu ulikuwa unaitwa Messianic period kwa Wayahudi wa Judea.

Wayahudi waliamini wakati huo watapata Masia ambaye atakuwa Kiongozi wa Kisiasa na Kijeshi atakaye wasaidia kupigana na kuwatoa Warumi katika nchi yao.

Ndipo akatokea Rabi(Mwalimu wa Dini ya Kiyahudi) anaitwa Yesu wa Nazareth alikuwa na Influence ya Watu wengi sana, Wayahudi wakawa wanataka atumie ushawishi wake kupigana kuchochea na kukusanya Watu hili wafanye uasi dhidi ya Warumi, Moja ya Majaribu kwa Yesu ni lile swali "Je ni halali kulipa Kodi kwa Kaisari?"
Yesu aliamini ni ujinga kupigana na mtu aliyekuzidi kila kitu kwa wakati huo na akawa hakubaliani na Idea ya vita, hapo Ndio wakamset akasurubiwa
"Yesu aliamini ni ujinga kupigana na mtu aliyekuzidi kila kitu"

-Daudi alipigana na Goliath aliemzidi kila kitu na akamshinda.

- Kwa imani yenu mnaamini Yakobo alipigana mieleka na Mungu wake aliemuumba na kumzidi kila kitu na akamshinda, tena akamtia kabari mpaka karibu na alfajiri ikabidi Mungu amuombe msamaha Yakobo amuachie kwa kuhofia kusije kupambazuka halafu watu wakamuona jinsi anavyodhalilika.

Haya mafundisho ni ya kukufuru kabisa, ndio maana Isaya Benson Mwakilembe (Mwalimu wa neno la Mungu) hua anasema wazi kabisa kua "Ukristo ni mchanganyiko wa Imani ya kiyahudi na imani ya kipagani".
 
Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu.

Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee.

Yohana 3:16 - 17:

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili tusipotee."

Tunafundishwa makanisani, na swali hili limezoeleka kuufikisha ujumbe huo, vilivyo:

"Nani anaweza kukubali kufa badala ya rafiki yake?"

Ama kwa hakika Yesu hakuwa na cha kupata kama yeye kwa kuja kutufia. Alikuwa na vyote kwa baba yake. Lakini kwa kutupenda kwake tu, akakubali kuja kutufia ili tukapate kuokoka.

Huu ndiyo unaoitwa upendo wa agape.

Hebu tujikumbushe upendo walio nao Hezbollah, Iran, Houthi au wale wengine wa kule Iraq kwa ndugu zao wa Palestina walioko kwenye jitihada zao kuupata uhuru wao:

"Kipi ambacho walikosa Hezbollah, Houthi au Iran kwenda kujiingiza kwenye sokomoko hili linaowagharimu vifo na hata vitisho vya kuteketezwa wote?"

Hivi kwa matendo ya hawa ndugu kwa wapalestina, inahitajika nguvu kuuelezea upendo wa Yesu kwetu au hata tunaofunzwa makanisani, kuwa nao kuwaelekea wengine?
Yesu hakuwaua watu. Hamas kutoka Palestina waliua watu waliokuwa wanacheza disco
 
Back
Top Bottom