- Thread starter
- #41
Huna hoja zaid ya propaganda toka lini wewe muislam ukaamini Yesu alikufa msalabani toka lini wewe muislam ukaamin biblia kama si unafk
Hivi utambulisho wa dini za watu huwa mnauokotea wapi kufikia kusema huyu ni hii na yule ni ile?
Ya kwamba hadi ukajipa haki ya kumsemea mtu?
Kwani wewe ni nabii?
Hukuwahi hata kupaona panapokataza kujihesabia haki ndugu?
Au kumbe unadhani dini ni maneno?
Dini ni matendo.
Kwa matendo yao kwa wapalestina:
"Kwa hakika wamewapenda wapalestina kama nafsi zao."