Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

Yesu alisema "NAMNA WALIVYONITENDA, NA NYIE WATAWATENDEA HIVYHIVYO"

Na kweli Yahudi ni bingwa wa fitina, uchonganishi na kuumiza watu

Kwa mujibu wa misahafu ya wakristo, wafao kwa niaba ya wateswao watapokelewa mbinguni, wakavikwa taji za ushindi na kuketi upande wa kuume wa Mungu.

"Ole wao watesi wa wengine kwa maana hao watalia vilio na kusaga meno!"

Na hayo ndiyo yaliyo maneno ya bwana.

Mtumishi matunduizi au nasema uongo?
 
Wamejitoa uhai wao, ila ni kwa mambo ya kidunia zaidi, walitakiwa washauri na kuhakikisha njia za amani kuwapigania wasio na haki, kuliko kuangamiza binadamu wengine.
 
Wamejitoa uhai wao, ila ni kwa mambo ya kidunia zaidi, walitakiwa washauri na kuhakikisha njia za amani kuwapigania wasio na haki, kuliko kuangamiza binadamu wengine.

Mkuu wapalestina wanapigania uhuru wao Kwa muda mrefu:



Njia zote za amani zimeshindikana. Tumeyaona haya huko Afrika Kusini, Mau Mau huko, nk.

Unadhani labda wapalestina wakubali kukaliwa Ili yaishe tu?

Ya kuwa kama vipi wageuze tu na shavu la pili, Kwa ajili ya ufalme wa mbinguni?
 
Mkuu; Bila kuathiri hoja na kutoa nafasi kwa wachangiaji ; naomba usome comment # 17 iliyotolewa na satirical Yet Awesome hapo juu.
Kwa nyongeza HAMAS na Hezbollah wanatumia itikadi ya Uislam kuhalalisha hicho wanachokifanya i.e. hawaitambui hiyo hoja yako ya Upendo wa Agape.
Kwa maneno mepesi ni kwamba hoja uliyotoa ya upendo sio hoja ya HAMAS na Hezbollah ila ww umemwekea Yesu Kristo hiyo hoja ya Hamas na Hezbollah kitu ambacho sio sahihi. Ukristo unachota mafundisho yake kwenye Biblia ilhali Uislam unachota mafundisho yake kwenye Qur'ani na Hivi ni vitabu viwili TOFAUTI.
 
Aaah vitisho teleeeee kisa zile katuni anazozitungua Israel daily
Wewe huna adabu na Mungu! Ungelikuwa na adabu naye ungeliheshimu viumbe wake Mungu.

Huwezi kuita viumbe alivyoviumba mwenyewe Mungu katuni.
 

1. Mkuu nitambue na kukupongeza kwa kuwa tayari kujadili kwa staha, uwazi bila kejeli wala kufuru.

2. Huyo Satirical Yet Awesome nimemjibu hoja Kwa hoja na upendo wote.

3. Sijui kama ungependa nikujibu Tena wewe hoja yake hii hapa au niku rejee ambayo kwangu ni post #27?

4. Hata hivyo wewe hudhani si sahihi kuwaongelea wao na kuwawekea hoja unazozisema?

5. Ninadhani rejea post #27 kwanza majibu yangu kwake Satirical Yet Awesome.
 


1. Wapi nimesema Yesu hakuwepo kabla ya Ibrahim au hata wapi nimesema Houthi walikuwapo?

2. Wapi nimesema Yesu hakufufuka au kuwa hawa hawatafufuka?

3. Wapi nimepinga maana ya upendo wa agape au hata kumhusisha mtu nao?

4. Unatambua hawa watu si wa Imani yako? Kwa hiyo ungewataka wao wampende tu adui yao kwa kumgeuzia na shavu la pili milele, kila la kwanza linapopigwa?

5. ULINGANIFU WA YESU na watu wengine:

"Hawa wanakufa na hata hawafufuki baada ya siku ya tatu.

6. Anayeleta MZAHA si wewe?

7. Bila kulisahau swali la msingi:

"Vipi ndugu wewe unaweza kufa kwa ajili ya rafiki yako umpendaye?"
 
Kwani uko hapa kukusanya dini za watu?

Au kwani wapi mkristo ndiye ana gate pass ya kuandika lolote?

Jikite kwenye mada kama una hoja.
Huna hoja zaid ya propaganda toka lini wewe muislam ukaamini Yesu alikufa msalabani toka lini wewe muislam ukaamin biblia kama si unafk
 
“Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini. ”
— 1 Timotheo 5:8


KATI YA ISRAEL NA (IRAN, HOUTH NA HEZBOLLA) NI NANI ANAYETUNZA WA NYUMBANI KWAKE?
 

1. Kwa fungu hilo moja tu ndugu, ndiyo umemaliza kazi na hitimisho juu?

2. Kwani ungependa labda nikupe mangapi bila hata kudadavua, kukuonyesha vinginevyo?

a) Kutoka 20:13 - Usiue.
b) Marko 12.31 - Mpende jirani yako kama nafsi yako.
c) Yeremia 23:3 - Msiwatendee vibaya au ukatili wageni, yatima na wajane wala msimwage damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa.
d) Nk, au niendelee ndugu?

3. Kwani yahitaji kuandikia mate? Hawa hapa:



4. Hadi hapo unamwona alivyokalia kuti kavu?
 
Kitu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Israel wanalinda vitu viwili 1: raia 2: ardhi hivyo watafanya lolote kuvilinda.

The same kwa parestina ila hamas hezbola na houth wao wamenunua ugomvi kwa maslahi ya kidini tu nyuma ya Iran na islamic kingdom
 
Wewe wasema siwezi kupinga mtazamo wako. Fikra zako haziwezi pokea kitu kipya zaidi ya unachokiamini😅😅🙌🏿🙌🏿

Mkuu mbona hata miye nakuona hivyo hivyo:

"Wewe wasema siwezi kupinga mtazamo wako. Fikra zako haziwezi pokea kitu kipya zaidi ya unachokiamini😅😅🙌🏿🙌🏿"

Au ulitaka nikubaliane na wewe tu?

Hoja hupingwa kwa hoja!
 
"Yesu aliamini ni ujinga kupigana na mtu aliyekuzidi kila kitu"

-Daudi alipigana na Goliath aliemzidi kila kitu na akamshinda.

- Kwa imani yenu mnaamini Yakobo alipigana mieleka na Mungu wake aliemuumba na kumzidi kila kitu na akamshinda, tena akamtia kabari mpaka karibu na alfajiri ikabidi Mungu amuombe msamaha Yakobo amuachie kwa kuhofia kusije kupambazuka halafu watu wakamuona jinsi anavyodhalilika.

Haya mafundisho ni ya kukufuru kabisa, ndio maana Isaya Benson Mwakilembe (Mwalimu wa neno la Mungu) hua anasema wazi kabisa kua "Ukristo ni mchanganyiko wa Imani ya kiyahudi na imani ya kipagani".
 
Yesu hakuwaua watu. Hamas kutoka Palestina waliua watu waliokuwa wanacheza disco
 
Yesu hakuwaua watu. Hamas kutoka Palestina waliua watu waliokuwa wanacheza disco

Wapi umesoma kuona Yesu akilinganishwa na mtu kwenye mada hii achilia mbali HAMMAS?

binti kiziwi yale mambo yetu ya Lowassa (rip) na elimu, elimu, elimu si ndiyo haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…