B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 12, 2024 Thread starter #41 Choosen85 said: Huna hoja zaid ya propaganda toka lini wewe muislam ukaamini Yesu alikufa msalabani toka lini wewe muislam ukaamin biblia kama si unafk Click to expand... Hivi utambulisho wa dini za watu huwa mnauokotea wapi kufikia kusema huyu ni hii na yule ni ile? Ya kwamba hadi ukajipa haki ya kumsemea mtu? Kwani wewe ni nabii? Hukuwahi hata kupaona panapokataza kujihesabia haki ndugu? Au kumbe unadhani dini ni maneno? Dini ni matendo. Kwa matendo yao kwa wapalestina: "Kwa hakika wamewapenda wapalestina kama nafsi zao."
Choosen85 said: Huna hoja zaid ya propaganda toka lini wewe muislam ukaamini Yesu alikufa msalabani toka lini wewe muislam ukaamin biblia kama si unafk Click to expand... Hivi utambulisho wa dini za watu huwa mnauokotea wapi kufikia kusema huyu ni hii na yule ni ile? Ya kwamba hadi ukajipa haki ya kumsemea mtu? Kwani wewe ni nabii? Hukuwahi hata kupaona panapokataza kujihesabia haki ndugu? Au kumbe unadhani dini ni maneno? Dini ni matendo. Kwa matendo yao kwa wapalestina: "Kwa hakika wamewapenda wapalestina kama nafsi zao."