Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ?
Israel
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa manane ikiwa nyanga nyanga, Ni kwamba kiteknolojia bado wapo nyuma.
Baada ya kifo cha Rais wa Iran, kukawa na uapisho wa rais mwengine, Hafla hio ilihudhuriwa na kiongozi wa Hamas aliefikia kwenye kasri lenye hadhi ya ulinzi wa special force ya Iran lakini alilipuliwa kwa bomu chini ya kitanda.
Kiongozi wa Hezbollah inayofadhiliwa na Iran yamemkuta juzi, alijificha kwenye handaki ya kuzuia mabomu lakini Israel walitumia mabomu yenye teknolojia ya juu, hayupo tena nasi
Israel anachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda raia wake, Iran wanachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda Magaidi huku raia wakiwa juu kama ngao.
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi la Israel kujua maghala ya silaha yalipo na kuyalipua, wana Intelejensia ya uhakika
Israel ina teknolojia ya juu sana kudukua mawasiliano ya maadui zao, hii inafanikisha kujua location za viongozi, maghala ya silaha, n.k.
Israel imeweza kufanya shambulio la kulipua pagers zikiwa mifukoni, Shambulio hili lilimfikia balozi wa Iran akiwa Lebanon.
Israel hajajibu chochote hadi sasa na alishasema hakuna sehemu wasiyoweza kuifikia Iran, Vitendo vya kauli hii vina ushahidi sio maneno matupu. Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi ikaja kupatikana ikiwa nyanga nyanga usiku wa manane, Kiongozi wa Hezbollah alienda kuhudhuria uapisho wa Rais mpya akiwa kwenye Kasri lenye ulinzi wa hadhi ya ikulu lakini alitegewa bomu chini ya kitanda.
Wala haihitaji kuumiza kichwa, Iran wajipange upya.