Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ?
Your browser is not able to display this video.
Israel
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa manane ikiwa nyanga nyanga, Ni kwamba kiteknolojia bado wapo nyuma.
Baada ya kifo cha Rais wa Iran, kukawa na uapisho wa rais mwengine, Hafla hio ilihudhuriwa na kiongozi wa Hamas aliefikia kwenye kasri lenye hadhi ya ulinzi wa special force ya Iran lakini alilipuliwa kwa bomu chini ya kitanda.
Kiongozi wa Hezbollah inayofadhiliwa na Iran yamemkuta juzi, alijificha kwenye handaki ya kuzuia mabomu lakini Israel walitumia mabomu yenye teknolojia ya juu, hayupo tena nasi
Israel anachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda raia wake, Iran wanachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda Magaidi huku raia wakiwa juu kama ngao.
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi la Israel kujua maghala ya silaha yalipo na kuyalipua, wana Intelejensia ya uhakika
Israel ina teknolojia ya juu sana kudukua mawasiliano ya maadui zao, hii inafanikisha kujua location za viongozi, maghala ya silaha, n.k.
Israel imeweza kufanya shambulio la kulipua pagers zikiwa mifukoni, Shambulio hili lilimfikia balozi wa Iran akiwa Lebanon.
Israel hajajibu chochote hadi sasa na alishasema hakuna sehemu wasiyoweza kuifikia Iran, Vitendo vya kauli hii vina ushahidi sio maneno matupu. Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi ikaja kupatikana ikiwa nyanga nyanga usiku wa manane, Kiongozi wa Hezbollah alienda kuhudhuria uapisho wa Rais mpya akiwa kwenye Kasri lenye ulinzi wa hadhi ya ikulu lakini alitegewa bomu chini ya kitanda.
1. Kama hakuna madhahara Israel hakukua na haja yoyote ya msemaji wa jeshi kutoa Amri ya kijeshi watu wasipige picha na kusambaza
2. Lengo la Iran halikua kuua watu wala hawajisifu kuua wanawake na watoto, Missile zote ziliekezwa maeneo ya kijeshi, zimeruka maelfu ya nyumba na kupiga miundombinu ya jeshi ikiwemo kambi ya jeshi la Anga, kuna Ushahidi kibao wa video, kukataa hili ni kujitoa tu ufahamu.
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kupata usiku wa manane ikiwa nyanga nyanga, Ni kwamba kiteknolojia bado wapo nyuma.
Baada ya kifo cha Rais wa Iran, kukawa na uapisho wa rais mwengine, Hafla hio ilihudhuriwa na kiongozi wa Hamas aliefikia kwenye kasri lenye hadhi ya ulinzi wa juu sana lakini alilipuliwa kwa bomu.
Kiongozi wa Hezbollah inayofadhiliwa na Iran yamemkuta juzi, alijificha kwenye hmagandaki ya kuzuia mabomu lakini Israel walitumia mabomu yenye teknolojia ya juu, hayupo tena nasi
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi la Israel kujua maghala ya silaha yalipo na kuyalipua, wana Intelejensia ya uhakika
Israel ina teknolojia ya juu sana kudukua mawasiliano ya maadui zao, hii inafanikisha kujua location za viongozi, maghala ya silaha, n.k.
Israel imeweza kufanya shambulio la kulipua pagers zikiwa mifukoni, Shambulio hili lilimfikia balozi wa Iran akiwa Lebanon.
Israel hajajibu chochote hadi sasa na alishasema hakuna sehemu wasiyoweza kuifikia Iran, Vitendo vya kauli hii vina ushahidi sio maneno matupu. Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi ikaja kupatikana ikiwa nyanga nyanga usiku wa manane, Kiongozi wa Hezbollah alienda kuhudhuria uapisho wa Rais mpya akiwa kwenye Kasri lenye ulinzi wa hadhi ya ikulu lakini alitegewa bomu chini ya kitanda.
hapana, wameleta madhara makubwa kwenye kambi ya kijeshi. raia wa israel hawajafa, sawa walikimbilia kwenye mahandaki. ila nijuacho, kuna viboko vya kueleweka sana vinaenda kupiga mtu soon, na iran itakuwa kama iraq, very soon.
1. Kama hakuna madhahara Israel hakukua na haja yoyote ya msemaji wa jeshi kutoa Amri ya kijeshi watu wasipige picha na kusambaza
2. Lengo la Iran halikua kuua watu wala hawajisifu kuua wanawake na watoto, Missile zote ziliekezwa maeneo ya kijeshi, zimeruka maelfu ya nyumba na kupiga miundombinu ya jeshi ikiwemo kambi ya jeshi la Anga, kuna Ushahidi kibao wa video, kukataa hili ni kujitoa tu ufahamu.
Israel anachimba mahandaki kwa ajili ya raia wake.
Mwarabu anachimba Mahandaki kwa ajili ya Magaidi wake halafu raia wake anawaweka juu ya Handaki ili wauwawe.
hapana, wameleta madhara makubwa kwenye kambi ya kijeshi. raia wa israel hawajafa, sawa walikimbilia kwenye mahandaki. ila nijuacho, kuna viboko vya kueleweka sana vinaenda kupiga mtu soon, na iran itakuwa kama iraq, very soon.
hapana ndugu, uhalisia ni kwamba iran hana uwezo kupigana na israel pamoja na marekani, UK, ufaransa na ujerumani kwa pamoja. hata urusi akiingilia kati bado iran itakua mavumbi tu. lpia jua unapigana na nchi yenye nuclear ambayo inajua the only way to survive ni kupigana. that's israel.
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa manane ikiwa nyanga nyanga, Ni kwamba kiteknolojia bado wapo nyuma.
Baada ya kifo cha Rais wa Iran, kukawa na uapisho wa rais mwengine, Hafla hio ilihudhuriwa na kiongozi wa Hamas aliefikia kwenye kasri lenye hadhi ya ulinzi wa special force ya Iran lakini alilipuliwa kwa bomu chini ya kitanda.
Kiongozi wa Hezbollah inayofadhiliwa na Iran yamemkuta juzi, alijificha kwenye handaki ya kuzuia mabomu lakini Israel walitumia mabomu yenye teknolojia ya juu, hayupo tena nasi
Israel anachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda raia wake, Iran wanachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda Magaidi huku raia wakiwa juu kama ngao.
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi la Israel kujua maghala ya silaha yalipo na kuyalipua, wana Intelejensia ya uhakika
Israel ina teknolojia ya juu sana kudukua mawasiliano ya maadui zao, hii inafanikisha kujua location za viongozi, maghala ya silaha, n.k.
Israel imeweza kufanya shambulio la kulipua pagers zikiwa mifukoni, Shambulio hili lilimfikia balozi wa Iran akiwa Lebanon.
Israel hajajibu chochote hadi sasa na alishasema hakuna sehemu wasiyoweza kuifikia Iran, Vitendo vya kauli hii vina ushahidi sio maneno matupu. Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi ikaja kupatikana ikiwa nyanga nyanga usiku wa manane, Kiongozi wa Hezbollah alienda kuhudhuria uapisho wa Rais mpya akiwa kwenye Kasri lenye ulinzi wa hadhi ya ikulu lakini alitegewa bomu chini ya kitanda.
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa manane ikiwa nyanga nyanga, Ni kwamba kiteknolojia bado wapo nyuma.
Baada ya kifo cha Rais wa Iran, kukawa na uapisho wa rais mwengine, Hafla hio ilihudhuriwa na kiongozi wa Hamas aliefikia kwenye kasri lenye hadhi ya ulinzi wa special force ya Iran lakini alilipuliwa kwa bomu chini ya kitanda.
Kiongozi wa Hezbollah inayofadhiliwa na Iran yamemkuta juzi, alijificha kwenye handaki ya kuzuia mabomu lakini Israel walitumia mabomu yenye teknolojia ya juu, hayupo tena nasi
Israel anachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda raia wake, Iran wanachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda Magaidi huku raia wakiwa juu kama ngao.
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi la Israel kujua maghala ya silaha yalipo na kuyalipua, wana Intelejensia ya uhakika
Israel ina teknolojia ya juu sana kudukua mawasiliano ya maadui zao, hii inafanikisha kujua location za viongozi, maghala ya silaha, n.k.
Israel imeweza kufanya shambulio la kulipua pagers zikiwa mifukoni, Shambulio hili lilimfikia balozi wa Iran akiwa Lebanon.
Israel hajajibu chochote hadi sasa na alishasema hakuna sehemu wasiyoweza kuifikia Iran, Vitendo vya kauli hii vina ushahidi sio maneno matupu. Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi ikaja kupatikana ikiwa nyanga nyanga usiku wa manane, Kiongozi wa Hezbollah alienda kuhudhuria uapisho wa Rais mpya akiwa kwenye Kasri lenye ulinzi wa hadhi ya ikulu lakini alitegewa bomu chini ya kitanda.
hapana ndugu, uhalisia ni kwamba iran hana uwezo kupigana na israel pamoja na marekani, UK, ufaransa na ujerumani kwa pamoja. hata urusi akiingilia kati bado iran itakua mavumbi tu. lpia jua unapigana na nchi yenye nuclear ambayo inajua the only way to survive ni kupigana. that's israel.
Iran hamwogopi pakistani kabisa, wanaheshimiana, na Iran ana nguvu kuliko pakistan despite the fact kwamba pakistan wana nuclear. hata ile majuzi iran ndio ilikuwa ya kwanza kupiga pakistan na pakistan akajirudishia, ila iran ndio walianza, alipoona asijepoteza focus yake kwa proxy wake akapeana mikono wakasameheana. pakistan pia haina uwezo kumpiga India na ndio maana Israel na India wapo allies wakubwa sana, ni kwa ajili ya kumshughulikia pakistan. kwa habari ya Iran, wanajua US ana mezi za kivita karibu na makombora mengi yanaweza kurushwa moja kwa moja toka Israel hadi Iran.
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa manane ikiwa nyanga nyanga, Ni kwamba kiteknolojia bado wapo nyuma.
Baada ya kifo cha Rais wa Iran, kukawa na uapisho wa rais mwengine, Hafla hio ilihudhuriwa na kiongozi wa Hamas aliefikia kwenye kasri lenye hadhi ya ulinzi wa special force ya Iran lakini alilipuliwa kwa bomu chini ya kitanda.
Kiongozi wa Hezbollah inayofadhiliwa na Iran yamemkuta juzi, alijificha kwenye handaki ya kuzuia mabomu lakini Israel walitumia mabomu yenye teknolojia ya juu, hayupo tena nasi
Israel anachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda raia wake, Iran wanachimba mahandaki kwa ajili ya kulinda Magaidi huku raia wakiwa juu kama ngao.
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi la Israel kujua maghala ya silaha yalipo na kuyalipua, wana Intelejensia ya uhakika
Israel ina teknolojia ya juu sana kudukua mawasiliano ya maadui zao, hii inafanikisha kujua location za viongozi, maghala ya silaha, n.k.
Israel imeweza kufanya shambulio la kulipua pagers zikiwa mifukoni, Shambulio hili lilimfikia balozi wa Iran akiwa Lebanon.
Israel hajajibu chochote hadi sasa na alishasema hakuna sehemu wasiyoweza kuifikia Iran, Vitendo vya kauli hii vina ushahidi sio maneno matupu. Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi ikaja kupatikana ikiwa nyanga nyanga usiku wa manane, Kiongozi wa Hezbollah alienda kuhudhuria uapisho wa Rais mpya akiwa kwenye Kasri lenye ulinzi wa hadhi ya ikulu lakini alitegewa bomu chini ya kitanda.
Mambo hayako fair hiyo mijitu inakufa pia jiulize hata hapa tu jukwaani jamii forum kwa nini mada yoyote inayoingelea Israel negative huwa inafutwa?
Hiyo ni kwa dunia nzima wanakusikilizisha wanachotaka usikie wao wakipigika hautakiwi kujua