Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Yes. The guy(Putin) is clever. Analijua timbwili la Myahudi.
 
Atakakejaribu atauona moto.
Poleni kwa msiba ila kama myahudi katekeleza shambulio hilo ndani ya Iran ningeshauri Iran a anyamaze tu.
Muisraeli ni habari nyingine
 
Halafu mwisho wa siku unapata nini ukifa? Kwani taratibu nyingine za kawaida zimeisha?

Hujawahi kujiuliza walipokufa kina Kinjekitile, Mkwawa, Ben, Azory, Lijenje au wale wa Kagera ulipata nini?

Bila shaka wewe ni wale Gen Z wa Tanzania mlio busy na jezi za Simba na Yanga wakati wenzenu Kenya wana shape destiny ya nchi yao kwa faida ya watoto wa wajukuu zao.

Bure kabisa!

imhotep hebu ona hii kamanda yenye kibiongo huku.
 
Atakakejaribu atauona moto.
Poleni kwa msiba ila kama myahudi katekeleza shambulio hilo ndani ya Iran ningeshauri Iran a anyamaze tu.
Muisraeli ni habari nyingine

Iran hivi sasa inafanya mkutano wa dharura wa Baraza lake Kuu la Usalama wa Kitaifa katika makazi ya Khamenei, tukio ambalo hutokea tu katika hali isiyo ya kawaida.

Kamanda wa Kikosi cha Quds pia anahudhuria.
 
Pole kwa msiba maalim, poleni sana!
 
Ukiwa unaoga mtoni halafu akatokea kichaa akazinyakua nguo zako na kukimbia nazo ni busara sana ww mwache usimkimbize. People may not notice the difference.
⚡️🇮🇷🇵🇸BREAKING: Kauli ya kiongozi mkuu wa Iran Khamenei kuhusu mauaji ya Ismail Haniyeh

“Utawala wa Kizayuni wa jinai na kigaidi ulimuua shahidi mgeni wetu mpendwa katika ardhi yetu na umesababisha huzuni yetu, lakini pia umetayarisha uwanja wa adhabu kali.

Kufuatia tukio hili chungu na la kusikitisha ambalo limetokea ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu, ni wajibu wetu kulipiza kisasi.”
 
Iran hivi sasa inafanya mkutano wa dharura wa Baraza lake Kuu la Usalama wa Kitaifa katika makazi ya Khamenei, tukio ambalo hutokea tu katika hali isiyo ya kawaida.

Kamanda wa Kikosi cha Quds pia anahudhuria.
Quote: "Kamanda wa Kikosi cha Quds pia anahudhuria".
Mkuu, Mbona lakini umemsahau Mjumbe muhimu sana(Yule mtoa roho) pia naye anahudhuria? - hujamtendea haki aisee.
 
Netanyahu kashasema mbwai mbwai,mpaka amalize muhula wake mwungine atakuwa amalaza viongozi wa kutosha wa jua na mwezi
 
acha kuifananisha russia na taka taka zingne wewe!!!! wale ni up in the air
 
Sema hawa jamaaa wana mbwembwe🤣. Nikisikia hii bendera nyukundu nafananisha na ile ya Shulen et JINA LAKO KTK BLACK BOOK.

Mimi wazo langu, tunasikiaga habari za Albadiri na zingine, kuweza ku command majini walipize kisasi etc. Why hawa jamaa wasipigane in a smart way? Watulie zao kwao, kila msikti uanze kusoma, WHY TROUBLED themselves.

Matamko meengi ishara ya udhaifu.

Blackbook = Red flag.

Wenzao Mossad wana winda kimya kimya wanaua, usiri ukamilisho hawana matangazo.
 
View: https://x.com/nadira_ali12/status/1818576820218024194?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…