Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

The response to an assassination will indeed be special operations—harder and intended to instill deep regret in the perpetrator.
 
How weak is Iran? Wanabamizwa kila siku kwenye ardhi yao wao ni kutoa vitisho tu, intelligence yao ina uwezo mdogo kiasi gani?
 
Netanyahu kashasema mbwai mbwai,mpaka amalize muhula wake mwungine atakuwa amalaza viongozi wa kutosha wa jua na mwezi
The response to an assassination will indeed be special operations—harder and intended to instill deep regret in the perpetrator.
 
Atakakejaribu atauona moto.
Poleni kwa msiba ila kama myahudi katekeleza shambulio hilo ndani ya Iran ningeshauri Iran a anyamaze tu.
Muisraeli ni habari nyingine

“Why did they kill him? They killed peace, not Ismail Haniyeh.” Amesikika mwuungwana mmoja akijisemea.
 
all Hamas leaders were walking dead men. “They are living on borrowed time,”
 
Hii dunia kumbe nani anaweza kuthibitisha yu salama dhidi ya nani?

Juzi hapa kuna yule aliyepatiwa salamu mwanana kwa sikio tena kutokea Kwa ka serengeti boy fulani tu kasiko kuwa na jina. Au kumbe naye alikuwa Teheran?
 
How weak is Iran? Wanabamizwa kila siku kwenye ardhi yao wao ni kutoa vitisho tu, intelligence yao ina uwezo mdogo kiasi gani?
Kiingereza hujui,Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora,houthi wamepiga ndani kabisa ya Israel kwa drone ambayo hawakuiona, hizbullah wanapiga picha ndani ya Israel daily na kurusha video tuone
 
The response to an assassination will indeed be special operations—harder and intended to instill deep regret in the perpetrator.
How about waache maneno meengi wapige action?
Too much words inamfanya adui yako ajiandae na ajue you are coming.

Kuwa kama north korea, piga assasination kimya kimya no matangazo
 
Kiingereza hujui,Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora,houthi wamepiga ndani kabisa ya Israel kwa drone ambayo hawakuiona, hizbullah wanapiga picha ndani ya Israel daily na kurusha video tuone

Kiongozi gani wa Israel kafa in the process? Kuua civilians nayo ni sifa?

Viongozi wangapi wa Iran wameuwawa hadi sasa huku everybody and their grandmas know ni mkono wa Israel? Hadi Rais wa nchi anauwawa wao ni kutoa vitisho tu. Hawa Iran ni mbwa koko all bark no bite.
 
Rais gani wa Iran kauawa na Israel!?..we kiazi kweli,siyo sera ya Iran kuua viongozi wa taifa jingine,halafu ni kiongozi gani wa Iran kauawa na Israel!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…