Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati (IRBMs) yakilenga kituo cha U.S.-UK huko Diego Garcia (~4,000 km

Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati (IRBMs) yakilenga kituo cha U.S.-UK huko Diego Garcia (~4,000 km

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal.

Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya balistiki ya Iran inayojulikana.

Mzee Ali Khamenei. Aliuliwa yeye ndiyo alikuwa hataki vijana wake waonyeshe silaha nzito na alisema makombora ambayo wanayo mwisho wake ni KM 2000 sasa dunia imeona makombora yanenda hadi KM 4000.

Iran walisema wazi wana silaha ambazo wakianza kuzitumia dunia itashangaa.

Trump anasema Iran wamebakiza asilimia 8 tu ya makombora yake.

Uingereza wametoa base yao otumike sasa wajue kazi wanayo Iran wanaweza kurusha makombora Ulaya.

View: https://x.com/megatron_ron/status/2035155447909343359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ni wazi uchokozi huo utasababisha iran yote ifutwe kwenye uso wa dunia,na ikiwezekana baada ya kufutwa sisi watanzania tuende tukaishi huko
 
Balozi wa Iran nchini Kenya atishia vita hii itakuwa ya kikanda na wataifikisha popote wanapoweza kufikia

View: https://m.youtube.com/watch?v=YyLOt4hoRAg

Swali kuu sasa sisi nchi za Africa ya Mashariki ikiwemo leo jaribio lililofeli kuishambulia Diego Garcia iliyopo bahari ya Hindi ukanda huu wa Afrika ya Mashariki hawa wendawazimu wa utawala wa Ayatollah wa Tehran wanataka kushambulia popote ili mradi tu wametimiza ndoto yao ya kishetani kuuwa popote duniani.

Tehran Walianza kushambulia za nchi za ghuba Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia, wakapiga Cyprus ulaya na sasa kisiwa cha Diego Garcia Afrika ya Mashariki

Je shambulizi lao la kiwendawazimu litalenga wapi tena wanapiweza kufikia ?
 
Balozi wa Iran nchini Kenya atishia vita hii itakuwa ya kikanda

Walianza kushambulia za nchi za ghuba Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia, wakapiga Cyprus ulaya na sasa kisiwa cha Diego Garcia Afrija ya Mashariki

Je shambulizi lao la kiwendawazimu litalenga wapi tena wanapiweza kufikia ?

TOKA MAKTABA:

Februari 1 , 2026
Marekani imezindua mradi wa miundombinu ya barabara ya kurukia ya kijeshi ya uwanja wa ndege utakaogharimu dola milioni 71, sawa na Shilingi bilioni 9.1 za Kenya, katika Kituo cha Wanamaji cha Manda Bay nchini Kenya.

View: https://m.youtube.com/watch?v=3V3AZJoPyco

Kuimarika kwa shughuli za usalama wa kikanda na mabadiliko katika msimamo wa Washington kuelekea Afrika Mashariki. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Christopher Landau aliwasili kwa kutumia ndege ya Jeshi la Anga la Marekani C‑130 kuzindua ujenzi wa barabara mpya ya kurukia ndege ya urefu wa kilomita 3 itakayoweza kutumia na ndege za kijeshi zenye uwezo wa kuhudumia ndege nzito.

View: https://m.youtube.com/watch?v=OXZXm-CV-r4
 
Ndio maana Sri Lanka leo imekataa ndege za kijeshi za US kutumia viwanja vyao kwa ajili ya kuishambulia Iran,kwani kambi yoyote ya kijeshi ya US au any allies atakaye muhost US kwenye kambi ambayo ipo ndani ya radius below 4000km haipo salama.
 
Balozi wa Iran nchini Kenya atishia vita hii itakuwa ya kikanda

View: https://m.youtube.com/watch?v=YyLOt4hoRAg

Swali kuu sasa sisi nchi za Africa ya Mashariki ikiwemo leo jaribio lililofeli kuishambulia Diego Garcia iliyopo bahari ya Hindi ukanda huu wa Afrika ya Mashariki hawa wendawazimu wa utawala wa Ayatollah wa Tehran wanataka kushambulia popote ili mradi tu wametimiza ndoto yao ya kishetani kuuwa popote duniani.

Walianza kushambulia za nchi za ghuba Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia, wakapiga Cyprus ulaya na sasa kisiwa cha Diego Garcia Afrija ya Mashariki

Je shambulizi lao la kiwendawazimu litalenga wapi tena wanapiweza kufikia ?

Iran Hakuanzisha Vita Mkuu
 
Hawa wendawazimu wa Tehran inabidi wachukuliwe hatua wote hadi regime change ipatikane.

Wamekuwa tishio kwa ulimwengu wote

DIEGO GARCIA IPO WAPI KIJIOGRAFIA ?

Ni kisiwa cha matumbawe cha mbali kilichopo katikati mwa Bahari ya Hindi. Kiko umbali wa maili 1,000 kusini mwa India na maili 1,800-2,000 mashariki mwa pwani ya Afrika (Tanzania /Somalia), kinatumika kama kituo muhimu cha kijeshi cha Uingereza na Marekani, sehemu ya Visiwa vya Chagos .

  • Mahali: Kusini mwa ikweta, sehemu ya Eneo la Bahari ya Hindi la Uingereza.
  • Jiografia: Ni kisiwa cha tropiki kilichotengwa na kisiwa kikubwa zaidi katika Visiwa vya Chagos.
  • Umbali kutoka Afrika: Takriban maili 1,800 hadi 1,970 za baharini (takriban kilomita 3,500+) mashariki mwa pwani ya Tanzania.
  • Kazi: Ni kambi ya kijeshi ya pamoja ya Uingereza na Marekani yenye ufikiaji mdogo wa raia.
 
Balozi wa Iran nchini Kenya atishia vita hii itakuwa ya kikanda na wataifikisha popote wanapoweza kufikia

View: https://m.youtube.com/watch?v=YyLOt4hoRAg

Swali kuu sasa sisi nchi za Africa ya Mashariki ikiwemo leo jaribio lililofeli kuishambulia Diego Garcia iliyopo bahari ya Hindi ukanda huu wa Afrika ya Mashariki hawa wendawazimu wa utawala wa Ayatollah wa Tehran wanataka kushambulia popote ili mradi tu wametimiza ndoto yao ya kishetani kuuwa popote duniani.

Walianza kushambulia za nchi za ghuba Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia, wakapiga Cyprus ulaya na sasa kisiwa cha Diego Garcia Afrija ya Mashariki

Je shambulizi lao la kiwendawazimu litalenga wapi tena wanapiweza kufikia ?

Huna akili....anachofanya bwana wenu Israel na america ndio ushetani kkenge nyie
 
Huna akili....anachofanya bwana wenu Israel na america ndio ushetani kkenge nyie

Watawala wa Tehran ni shetani wakuu, akili zao hazipo sawasawa inabidi Tanzania kuanza kuwaangalia kwa umakini mkubwa, kama wamejaribu Diego Garcia je sisi nchi za Kenya, Tanzania tupo salama kutoweza kuathirika na ndoto za kiuendawazimu za watawala wa Tehran ?

TOKA MAKTABA:
13 MARCH 2026

Ushirikiano Mpya Waleta Walinzi wa Kitaifa wa Nebraska hadi Afrika

1774097028497.jpeg

1774097075548.jpeg

utawala wa Ayatollah wa Tehran wanataka kushambulia popote ili mradi tu wametimiza ndoto yao ya kishetani kuuwa popote duniani.

Tehran Walianza kushambulia za nchi za ghuba Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia, wakapiga Cyprus ulaya na sasa kisiwa cha Diego Garcia Afrika ya Mashariki

Ukichaa wa watawala wa Tehran una Athari kwa usafiri wa anga sekta ya utalii nchi za Afrika ya Mashariki zilizo kitovu cha utalii wa mbugani na fukwe zake safi nyeupe kiuchumi wanaounganisha usafiri wa ndege kupitia Qatar, Dubai, Riyadh kuja Afrika ya Mashariki

More info :
Mchumi Dr. Yanis Varoufakis anasema kwamba hata kama vita nchini Iran vitaisha hivi karibuni — jambo ambalo huenda lisiishe — matokeo ya kiuchumi yatakuwa mabaya na ya muda mrefu

View: https://m.youtube.com/watch?v=xPhV5bc8d6Q
 
Jino kwa jino, macho kwa macho, haki ilipwe kwa haki, kosa lijibiwe kwa kipimo kilekile, bila kupindisha mizani ya uadilifu.
 
Back
Top Bottom