Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

Mazayuni:. Iran wakirusha hata jiwe ndiyo utakuwa mwisho wa Ayatollah



Ayatollah kapiga kwenye mshono wamebadili gia angani😀
Na wairan wanajiandaa kwa kufanya mazoezi makali mnoo ya kijeshi heb mcheki muiran huyo mzayuni gan atatoboa hapo
 
Ukianglia historia kwa kiasi kikubwa utakuta iran. Imepata madhara sana kutoka kwa Israel.

Ukweli ni kwamba Israel imeua wairana wengi sana hasa viongozi ndo wanadili nao,
Wale watu muhimu sana kwa ustwawi wa iran katika ulizi.
Kama wanasayansi wengi wa iran waliuwawa na Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…