green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
- Thread starter
- #21
Hawa ndio waoga sio IranHawa Iran ni wapumbavu mikwara mingi kumbe maoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio waoga sio IranHawa Iran ni wapumbavu mikwara mingi kumbe maoga
We mwanamgambo wa Israel wenzako wapo kwenye mapango we unatoa kiwiliwili haugopi WaajemiSasa umenikiomesha nn sasa 🤣🤣kuna watu maisha yanawapeleka puta unajikuta una makasiliko na mtu humjui...🤣🤣utapata bp bure.
yaani hata marekani angesimama kupigana na israel, maumivu yatakuwepo ila at the end of the day, israel itashinda kwasababu ya Mungu wa Israel, na wote msiomwamini Mungu huo mtaona kwa macho yenu ili pengine muamini. Israel will win this war.🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa hizo wawepo kwa ajili kuinstall zana hizo.
Update: Reports that Iran has requested an emergency purchase and shipment of advanced weapons from both Russia and China and specialist to help them deploy them immediately! These weapons include advanced electronic warfare systems to protect Tehran!! Iran will not attack Israel until these weapons are active
View attachment 3060697
Endelea kukisia hivyo hivyo ............kosa moja ..........mabao mia mojaInakisiwa tayari Iskender zimeshatua
BREAKING 🔥🚨 #Iran may launch a Russian Iskander ballistic missile towards Israel in RETALIATION of Ismail Haniyeh's Assassination.
Isakander kwa nje ya Urusi ziko Belarus pekee, haziwezi pelekwa Irani, zile silaha ni hatari sana kuepelekwa Iran🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa hizo wawepo kwa ajili kuinstall zana hizo.
Update: Reports that Iran has requested an emergency purchase and shipment of advanced weapons from both Russia and China and specialist to help them deploy them immediately! These weapons include advanced electronic warfare systems to protect Tehran!! Iran will not attack Israel until these weapons are active
View attachment 3060697
Israel inakua imekaa tu🤣BREAKING ⚡🚨
Iranian may test its first nuclear weapon under high security of Russian & Chinese arms.
🚨Is Iran fighting for its Nuclear capabilities or PALESTINIAN?
Humu watu Kwa uongo🤣Isakander kwa nje ya Urusi ziko Belarus pekee, haziwezi pelekwa Irani, zile silaha ni hatari sana kuepelekwa Iran
🤣🤣Hizi imani za dini za kuletewa ni shida sana, kwa hiyo hao Iran wakiipiga Israel basi wenyewe Israel watakuwa wamesinzia tu......!!!😧😧😲😲