Iran imeagiza mzigo wa kutosha pamoja na specialist toka China na Russia

Hizi imani za dini za kuletewa ni shida sana, kwa hiyo hao Iran wakiipiga Israel basi wenyewe Israel watakuwa wamesinzia tu......!!!😧😧😲😲
 
Wananchi wa Iran waepushe kuteketezwa wamuondoe Grand Ayatolah na Mashehe wake kwa Popular Uprising.
 
Sasa umenikiomesha nn sasa 🤣🤣kuna watu maisha yanawapeleka puta unajikuta una makasiliko na mtu humjui...🤣🤣utapata bp bure.
We mwanamgambo wa Israel wenzako wapo kwenye mapango we unatoa kiwiliwili haugopi Waajemi
 

Attachments

  • IMG_20240801_110426.jpg
    39.4 KB · Views: 1
yaani hata marekani angesimama kupigana na israel, maumivu yatakuwepo ila at the end of the day, israel itashinda kwasababu ya Mungu wa Israel, na wote msiomwamini Mungu huo mtaona kwa macho yenu ili pengine muamini. Israel will win this war.
 
Inakisiwa tayari Iskender zimeshatua

BREAKING 🔥🚨 #Iran may launch a Russian Iskander ballistic missile towards Israel in RETALIATION of Ismail Haniyeh's Assassination.
Endelea kukisia hivyo hivyo ............kosa moja ..........mabao mia moja
 
JUST IN: 🇮🇷 🇷🇺 Continuous stream of IL-96 cargo planes detected flying from Russia to Iran, raising suspicions of a massive transfer of heavy military equipment between the two nations.

Is Russia arming Iran for a potential war with Israel?JUST IN: 🇮🇷 🇷🇺 Continuous stream of IL-96 cargo planes detected flying from Russia to Iran, raising suspicions of a massive transfer of heavy military equipment between the two nations.

Is Russia arming Iran for a potential war with Israel?
 
🇮🇷 🇷🇺 Continuous stream of IL-96 cargo planes detected flying from Russia to Iran, raising suspicions of a massive transfer of heavy military equipment between the two nations.

Is Russia arming Iran for a potential war with Israel?🇮🇷 🇷🇺 Continuous stream of IL-96 cargo planes detected flying from Russia to Iran, raising suspicions of a massive transfer of heavy military equipment between the two nations.

Is Russia arming Iran for a potential war with Israel?
 

Attachments

  • IMG_20240804_023428.jpg
    196.5 KB · Views: 3
SAY9545, a 🇷🇺 Russian Sky Gates Airlines Ilyushin Il-96-400T Cargo Aircraft (Reg. RA-96103) departed from Moscow Zhukovsky International Airport and landed at 🇦🇪 Al Maktoum International Airport (UAE). It's worth noting that the aircraft switched off its transponders over 🇮🇷 Shiraz International Airport (Iran).
 

Attachments

  • IMG_20240804_024146.jpg
    184.4 KB · Views: 2
Isakander kwa nje ya Urusi ziko Belarus pekee, haziwezi pelekwa Irani, zile silaha ni hatari sana kuepelekwa Iran
 
IRAN NDIO HUWA ANAMSAIDIA URUSI SIO URUSI KUMSAIDIA IRAN, ACHENI UONGO.

SILAHA ALIZO NAZO IRAN NI NYINGI SANA BILA KUMTEGEMEA MTU ILA ANAHESABU GHARAMA YA KUANZISHA VITA, GHARAMA YA IRAN KUANZISHA VITA ITAONDOA UTAWALA WOTE WA KIDIKTETA MADARAKANI.

ITAMCOST IRAN PAKUBWA SANA HII VITA, BORA ATULIE AWE ANAWASAPOTI HAMAS NA HEZBOLAH KIMYA KIMYA
 
BREAKING ⚡🚨

Iranian may test its first nuclear weapon under high security of Russian & Chinese arms.

🚨Is Iran fighting for its Nuclear capabilities or PALESTINIAN?
Israel inakua imekaa tu🤣
 
Hizi imani za dini za kuletewa ni shida sana, kwa hiyo hao Iran wakiipiga Israel basi wenyewe Israel watakuwa wamesinzia tu......!!!😧😧😲😲
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…