Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

The branding

Senior Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
186
Reaction score
320
Nimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali.
Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa sasa ikitokea hamna ama ni kidogo basi mpinzani kashinda.
Kwa mantiki hiyo, Iran ipewe maua yake🤣
 
ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.

hivi kweli adui yako anaweza kukuarifu kwamba atakushambulia muda, wakati na saa fulani, na akafanya hivyo?

umejiuluza ni kwanini?

ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda.

alichofanya Israel ni kumfanya Iran aactivate mifumo yake yote ya ulinzi ili hatimae Israel ipange vizuri namna ya kuikabili Iran 🐒
 
ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda 🐒
But hata Iran aliitaarifu Israel na US, nijuze what went wrong... Kwamaana licha ya Iran kutoa taarifa still vyuma vilipenya. Leo nimeamua kuweka mahaba pembeni🤣.
 
ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.

hivi kweli adui yako anaweza kukuarifu kwamba atakushambulia muda, wakati na saa fulani, na akafanya hivyo?

umejiuluza ni kwanini?

ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda.

alichofanya Israel ni kumfanya Iran aactivate mifumo yake yote ya ulinzi ili hatimae Israel ipange vizuri namna ya kuikabili Iran 🐒
Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
 
Kambi ipi ya Israel 🇮🇱 ilipigwa?? Hahaha 😂 😂 😂 leta picha au clip!
 
Leo ndo mnatafuta picha wakati jana tu wenzio wamehangaika na mwisho wakaleta video wakati Israel inashambuliwa wakasema ndio Iran

Pili ndege gani hiyo ilifika kwenye anga la Iran ndio maana mtoa mada akaawambia wekeni mahaba pembeni maana naona mnakua mazombie sasa.
 
Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
Tusisahau pia Iran katika shambulio lake dhidi ya Israel alirusha vitu vyake straight kutoka Iran Hadi TelAviv lakini Israel juzi ilibidi aende kuibia anga la Iraq ili awe karibu na Iran.
 
Back
Top Bottom