Bilashaka yoyote yajayo yanasikitisha sana, lengo la Israel ni ama kumalizana na Hayatolah Khamenei au Masoud Pezeshkian, Rais mpya wa Iran.
nadhani hiyo ndiyo hasa itakua kituo kinachofuata, bila kuweka waza muda, saa wala dakika, kwasababu hao ndio hasa waliamrisha kushambuliwa kwa Israel hivi karibu na tayari wamejaa kwenye rada za Israel.
Kama ilivyotokea milipuko ya simu huko Lebanon na kuathiri mamilioni ya watu, ndicho hasa kitakachotokea hivi karibuni katika mifumo ya ulinzi ya Iran pale itakapokua ikilipuka yenyewe 🐒