Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wagalatia wa jamii forum wengi ni vilaza proKwani ripoti hukuzisoma hata humu zimeletwa!?
Embu zitafute.
Hawa wagalatia wa jamii forum wengi ni vilaza proKwani ripoti hukuzisoma hata humu zimeletwa!?
Embu zitafute.
Sawa...ila bado hujasema cheo chako pale MOSAD au IDF...Hizbolah ndio wametishika zaid na sasa hivi hakuna anaetamani kua kiongozi wa hizbolah wala Hamas hapo ghaza, inasikitisha sana, inafedhehesha sana..
ni mbinu rahisi sana na ya kitaalamu mno kumuarifu adui yako siku, muda na dakika ambayo utamshambulia ili hatimae umpatie ushindi katika kuzuia athari za mashambulizi yako.
Lakini lengo ni la kisayansi tu.
Adui huyo aweze kuactivate mifumo yake yote ya kujilinda na hatimae upate fursa ya kumkandamiza vizuri pale kwenye lengo mahususi tu ambako bilashaka hawatapayilia maanani sana.
Khemenei and Masoud are in a very dangerous situations in life 🐒
Wala usiangalie watu waliouawa. Angalia miundombinu iliyoharibiwaKwa hio mkuu hili ni bonge la Achievemt ndege 100 zenye thamani zaidi ya trillion 30 zimerusha makombora zaidi ya 100 na kuua watu 4? Hebu kaa kidogo kunywa energy utumie hata 2% ya ubongo wako, is that an achievement?
Miundo mbinu iliyo haribiwa iko wapi mkuu picha tafadhali.Wala usiangalie watu waliouawa. Angalia miundombinu iliyoharibiwa
Waulize wao iran waliotoa taarifa ya wanajeshi wanne kuuawa. Waweke picha za marehemu wanajeshi piaMiundo mbinu iliyo haribiwa iko wapi mkuu picha tafadhali.
Hiyo point!ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.
hivi kweli adui yako anaweza kukuarifu kwamba atakushambulia muda, wakati na saa fulani, na akafanya hivyo?
umejiuluza ni kwanini?
ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda.
alichofanya Israel ni kumfanya Iran aactivate mifumo yake yote ya ulinzi ili hatimae Israel ipange vizuri namna ya kuikabili Iran 🐒
Pole yako mkuu pole sana heheheheee labda Iran ya Nachingwea.Israel imewahadaa sana Iran kitechnolojia na kwamba hakuna tena alie salama ndani ya Irani 🐒
Picha ziliwekwa na majina yakatangazwa labda wewe hujaona.Waulize wao iran waliotoa taarifa ya wanajeshi wanne kuuawa. Waweke picha za marehemu wanajeshi pia
Picha zipo na majina yametajwa pia wewe unadhani Iran ni wale Mazayuni waoga waogaWaulize wao iran waliotoa taarifa ya wanajeshi wanne kuuawa. Waweke picha za marehemu wanajeshi pia
Basi wataweka na za radar iliyoharibiwaPicha ziliwekwa na majina yakatangazwa labda wewe hujaona.
hiyo rada imeharibika yenyewa au imeharibiwa na nini gentleman?Pole yako mkuu pole sana heheheheee labda Iran ya Nachingwea.
Ila sio Iran ya Persian gulf.
Kitendo cha kushambulia kwa kutumia anga lingine inajulisha kuwa bado anga la Iran lina ulinzi.
Kwa mbwembwe za IAF anga lako liwe uchi halafu aliache!?
Wee thubutu,embu tizama Syria anavyopita kwa madaha na mbwebwe na ndege zake za F-16.
Radar iloharibika Iran ni ya kulinda airport tu,zingine ziko salama.
Kama walitumia anga jingine, kwa nini Iran wamepeleka malalamiko yao wakiwatuhumu Israel kukiuka mkataba wa kimataifa kwa kuingia katika anga lao na kuwatandika?Pole yako mkuu pole sana heheheheee labda Iran ya Nachingwea.
Ila sio Iran ya Persian gulf.
Kitendo cha kushambulia kwa kutumia anga lingine inajulisha kuwa bado anga la Iran lina ulinzi.
Kwa mbwembwe za IAF anga lako liwe uchi halafu aliache!?
Wee thubutu,embu tizama Syria anavyopita kwa madaha na mbwebwe na ndege zake za F-16.
Radar iloharibika Iran ni ya kulinda airport tu,zingine ziko salama.
Radar iliyoharibika ni ya airport sidhani kama hawajaweka nilipitia vyanzo vya habari waliweka hiyo radar ya Khomein airport.Basi wataweka na za radar iliyoharibiwa
cheo ni dhamana sio jambo la kubabaika nalo au kujivunia kwamba ndiyo hoja.Sawa...ila bado hujasema cheo chako pale MOSAD au IDF...
Kwani yale makombora yalirushwa kuelekea wapi!?Kama walitumia anga jingine, kwa nini Iran wamepeleka malalamiko yao wakiwatuhumu Israel kukiuka mkataba wa kimataifa kwa kuingia katika anga lao na kuwatandika?
Kama madogo na kama ndivyo unavyofikiri, mbona Israel hawajalalamika anga lao kutumiwa na Iran iliposhambuliwa?Kwani yale makombora yalirushwa kuelekea wapi!?
Kitendo cha kurusha makombora kuingia anga la mwenzako ni sawa na kuingilia mamlaka ya anga la mwenzako.
Mbona mambo madogo sana haya kuyaelewa!?
Naona unajikanyaga mwenyewe.hiyo rada imeharibika yenyewa au imeharibiwa na nini gentleman?
Tena rada ya airport kabisa imeharibika? 🤣
mbona hatukuskia airport imeshambuliwa, ni nini hasa imedhoofisha hiyo rada hata isifanye kazi? Kwahiyo Khamenei na Masoud hawawezi kusogea airport right?
sasa gentleman,
syria, Lebanon, Yemen, ghaza na Jordan ambae ni dhaifu na mouoga zaid wanakwama wapi hasa kuidhibiti Israel kwa msaada wa Iran yenye techmologia ya kiwango cha juu sana gentleman 🤣
Mbona unavuruga mada!??Kama madogo na kama ndivyo unavyofikiri, mbona Israel hawajalalamika anga lao kutumiwa na Iran iliposhambuliwa?
Au Iran alikuwa na maana gani kuyaambia baadhi ya mataifa jirani kuwa wakiruhusu anga zao kutumiwa na Israel watakiona na moto?