Huku main stream media CNN BBC tunalzimishwa kuaninishwa kuwa eti jamaa wamefanya kutu cha maana sana na kikubwa sana kuanzia mapicha fekiNimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali.
Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa sasa ikitokea hamna ama ni kidogo basi mpinzani kashinda.
Kwa mantiki hiyo, Iran ipewe maua yake🤣
