The branding
Senior Member
- Apr 17, 2022
- 186
- 320
Nenda cheki vyombo vya magharibi utaona. Nenda linganisha makombora ya Iran kwenda Israel vs yale ya Israel kwenda Iran. Ukiwa unacheki weka mahaba pembeni kwa muda...Hebu nielekeze na mimi nikazicheki?
ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.Nimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali.
Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa sasa ikitokea hamna ama ni kidogo basi mpinzani kashinda.
Kwa mantiki hiyo, Iran ipewe maua yake๐คฃ
But hata Iran aliitaarifu Israel na US, nijuze what went wrong... Kwamaana licha ya Iran kutoa taarifa still vyuma vilipenya. Leo nimeamua kuweka mahaba pembeni๐คฃ.ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.
hivi kweli adui yako anaweza kukuarifu kwamba atakushambulia muda, wakati na saa fulani, na akafanya hivyo?
umejiuluza ni kwanini?
ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda ๐
Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.
hivi kweli adui yako anaweza kukuarifu kwamba atakushambulia muda, wakati na saa fulani, na akafanya hivyo?
umejiuluza ni kwanini?
ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda.
alichofanya Israel ni kumfanya Iran aactivate mifumo yake yote ya ulinzi ili hatimae Israel ipange vizuri namna ya kuikabili Iran ๐
Thats why nimesema tuweke mahaba pembeni... Mm ni pro Israel na ntabaki hivyo, but leo nataka tujadili uhalisia.Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
Kambi ipi ya Israel ๐ฎ๐ฑ ilipigwa?? Hahaha ๐ ๐ ๐ leta picha au clip!Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
Leo ndo mnatafuta picha wakati jana tu wenzio wamehangaika na mwisho wakaleta video wakati Israel inashambuliwa wakasema ndio IranKambi ipi ya Israel ๐ฎ๐ฑ ilipigwa?? Hahaha ๐ ๐ ๐ leta picha au clip!
Tusisahau pia Iran katika shambulio lake dhidi ya Israel alirusha vitu vyake straight kutoka Iran Hadi TelAviv lakini Israel juzi ilibidi aende kuibia anga la Iraq ili awe karibu na Iran.Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
Kwahiyo kuna hata battery moja iliangusha f 35?Thats why nimesema tuweke mahaba pembeni... Mm ni pro Israel na ntabaki hivyo, but leo nataka tujadili uhalisia.
Leo ndo mnatafuta picha wakati jana tu wenzio wamehangaika na mwisho wakaleta video wakati Israel inashambuliwa wakasema ndio Iran
Pili ndege gani hiyo ilifika kwenye anga la Iran ndio maana mtoa mada akaawambia wekeni mahaba pembeni maana naona mnakua mazombie sasa.
Wakati iran inashambulia Israel video zilioneshwa na sio hizo ngonjera unazoniletea hapa.
Kama hawa wameconfirm unataka video gani? ๐Wakati iran inashambulia Israel video zilioneshwa na sio hizo ngonjera unazoniletea hapa.