inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwasheeIran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran
Kwa waziri au watumishi?Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee
Kuna watu hawana kelele,wanakusaka kimyakimya tu,hivi ulishawahi sikia gunduzi za kisayansi za uingereza au ujerumani!?..je hawana?..no,hawafanyi tu biashara kama USA na kidosho wake israel, makelele kibao!!Aiseeeeeee
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.Kwa waziri au watumishi?
Chini ya tamisemi kuna wizara nyingi,ila wizara ya afya na kilimo kuna helaW
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
Saddam alibugi kuachana na nuclear,angeipata angekua kama kidukuSadam husein alikuwa na maneno ya kunya kuliko ayatolah ila alikamuliwa mavi
Muajemi hana maisha marefu
qChini ya tamisemi kuna wizara nyingi,ila wizara ya afya na kilimo kuna hela
Tawala za mikoa na serikali za mitaa,halmashauri ndiyo wasimamizi wa idara zote wilayani,manispaaTamisemi ni wizara, hakuna wizara inayokuwa chini ya wizara.
q
Hao ni watumishi, wanatekeleza majukumu mbalimbali ya wizara mbalimbali katika maeneo yao. Kwa mfano Mwl anaajiriwa na Tamisemi lakini kazini anatekeleza mtaala ulioandaliwa na wizara ya elimu, na akiwa kwenye usimamizi wa mitihani ya kitaifa anashirikiana na wizqra ya mambo ya ndani.Tawala za mikoa na serikali za mitaa,halmashauri ndiyo wasimamizi wa idara zote wilayani,manispaa
KWA nini asiajiriwe na wizara ya elimu?.. mitihani ya kitaifa msingi nadhani halmashauri uhusikaHao ni watumishi, wanatekeleza majukumu mbalimbali ya wizara mbalimbali katika maeneo yao. Kwa mfano Mwl anaajiriwa na Tamisemi lakini kazini anatekeleza mtaala ulioandaliwa na wizara ya elimu, na akiwa kwenye usimamizi wa mitihani ya kitaifa anashirikiana na wizqra ya mambo ya ndani.
KWA nini asiajiriwe na wizara ya elimu?.. mitihani ya kitaifa msingi nadhani halmashauri uhusik
Kama hujui Iko ivi, mwajemi amejifunza kupitia makosa ya sadamu acha na taifa linalopigana na (chadema) miaka 2 sasaSadam husein alikuwa na maneno ya kunya kuliko ayatolah ila alikamuliwa mavi
Muajemi hana maisha marefu
wanangu mimi hao IRANIran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran
Echolima1Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael