Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

Hizi taarifa kama za kweli basi nomefurahi sana, siku zote nilikuwa na mashaka na umilikaji wa nyuklia kwa Israel, kumbe wanazo, Wacha makobaz yajichanganye siku moja, yatafagiwa kweli kweli.
Vita vya Israel kwenye kujitetea dhidi ya waislamu ifahamike ni vita hatari sana maana kila muislamu hutamani Israel ifutwe kwenye ramani, hivyo hao Israel siku wakiona kama wanalemewa, watashambulia kwa kila walicho nacho.
Hizo habari za israel kuwa na nukes mbona kitambo zinajulikana,walishiriki kumuua JFK sababu hakutaka wawe nazo,na bwana vanunu (muisrael)alivujisha picha,wakamfunga
Walichopata Iran ni zaidi ya kujua kuna nukes
 
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael

Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)

Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran

Wairani wasianze kuiga tabia za waarabu za uongo uongo. Haisaidii.
 
Iran wamesema wataweka hadharani nyaraka za nuclear za israel
 
images (74).jpeg
 
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael

Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)

Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran

Habari zimfikie echolima, Iran wanajua mangapi ya israel!?
Hata wakijua itasaidia nini? Badala wapeleke chakula Gaza. Imejua taarifa nyingi za Israel, sasa si iwape silaha Hamas, Houthi na Hezbollah
Gaza watu wanakufa kwa njaa, wewe unapiga porojo. Ungetuma hata debe la mahindi ingesaidia sana
 
Hizo habari za israel kuwa na nukes mbona kitambo zinajulikana,walishiriki kumuua JFK sababu hakutaka wawe nazo,na bwana vanunu (muisrael)alivujisha picha,wakamfunga
Walichopata Iran ni zaidi ya kujua kuna nukes

Siku zote nilikuwa najua wanazo ila nilikuwa na mashaka, ila sasa kama kweli jameni hii poa, inanikumbusha Samson alivyokufa na mafilisti, siku makobaz mtailemea Israel kivita itabidi ife na nyie, patakua patamu.
 
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael

Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)

Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran

Sasa kumbe Israel Ina nuklia ndoto za Iran kuifuta Israel itatimiaje je israel akiamua kutumia nuklia Iran itafutwa na yeye
 
Unazijua nuclear lakini!?..Iran atahitaji kupiga moja tu na israel itafutika, wakati israel atahitaji kupiga tatu au nne kuiunguza Iran yote
 
Jamaaa wamefanyia Ujasusi wa kiwango cha Mwana ukome!!! Au SGR ndani ya Israel vitengo nyeti wametatizika Vibaya awajui waanzie wapi!!!!!

Lkn Tukumbuke hiii sio ta Kwanza kufanyiwa Israel na IRAN awa Wairan ni MOTO wakuogopwa,,
Na cha ajabu maarifa mengi waliyapata kwa hao hao mayahudi,enzi wakiwa marafiki.
 
Back
Top Bottom