Iran waajemi ni miongoni mwa kitovu cha maarifa ulimwenguni kabla hata hao waisrael wawe na urafiki nao.Na cha ajabu maarifa mengi waliyapata kwa hao hao mayahudi,enzi wakiwa marafiki.
Embu kasome mchango wa waajemi kwenye elimu.
Iran waajemi ni miongoni mwa kitovu cha maarifa ulimwenguni kabla hata hao waisrael wawe na urafiki nao.Na cha ajabu maarifa mengi waliyapata kwa hao hao mayahudi,enzi wakiwa marafiki.
Nijuze ni ipi historia yao kielimu?,,Iran waajemi ni miongoni mwa kitovu cha maarifa ulimwenguni kabla hata hao waisrael wawe na urafiki nao.
Embu kasome mchango wa waajemi kwenye elimu.
Ideology ya haki za binadamu ilianzishwa na Persians.Nijuze ni ipi historia yao kielimu?,,
![]()
Kumbukizi: Mwaka 2016 kijana mmoja wa Iraq akamatwa na Wanajihad kwa kusikiliza muziki wa Kimagharibi wakati wa Swala
Mnamo mwaka 2016, nchini Iraq, kijana Ayham Hussein alikamatwa na wanajihadi alipokuwa akisikiliza muziki wa Kimagharibi katika duka la baba yake. Alifikishwa katika mahakama ya Sharia ambayo ilimhukumu kunyongwa. Kijana huyo alikatwa kichwa hadharani kabla ya mwili wake kurejeshwa kwa familia...www.jamiiforums.com
Chizi hilo achana naloTimes of Israel ni gazeti miongoni mwa magazeti mama huko Israel.
Huwenda una utindii wa ubongo wewe sio bure.
Namkumbukaga huyo jamaa Mordecai Vanunu Hadi akaamua Kuwa mgalatia. Ila alikamatwa kizembe na Mossad WA like mremboHizo habari za israel kuwa na nukes mbona kitambo zinajulikana,walishiriki kumuua JFK sababu hakutaka wawe nazo,na bwana vanunu (muisrael)alivujisha picha,wakamfunga
Walichopata Iran ni zaidi ya kujua kuna nukes
Mbona hatusikii hata meja au kanali wa IDF kuuliwa ni majenerali tu wa upande wa Iran?, nani atakuwa na taarifa sahihi za mwenzake?Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran