inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
- Thread starter
-
- #21
Hizo habari za israel kuwa na nukes mbona kitambo zinajulikana,walishiriki kumuua JFK sababu hakutaka wawe nazo,na bwana vanunu (muisrael)alivujisha picha,wakamfungaHizi taarifa kama za kweli basi nomefurahi sana, siku zote nilikuwa na mashaka na umilikaji wa nyuklia kwa Israel, kumbe wanazo, Wacha makobaz yajichanganye siku moja, yatafagiwa kweli kweli.
Vita vya Israel kwenye kujitetea dhidi ya waislamu ifahamike ni vita hatari sana maana kila muislamu hutamani Israel ifutwe kwenye ramani, hivyo hao Israel siku wakiona kama wanalemewa, watashambulia kwa kila walicho nacho.
Anajifanya haoni,na mimi nimeweka link ya gazeti la wayahudi kusudi
Wairani wasianze kuiga tabia za waarabu za uongo uongo. Haisaidii.Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran
Kwani hapakua na kukamatwa wayahudi huko israel mwezi mei na disemba?Wairani wasianze kuiga tabia za waarabu za uongo uongo. Haisaidii.
Wako wapi waliokamatwa. Majina, sura, familia zao?Kwani hapakua na kukamatwa wayahudi huko israel mwezi mei na disemba?
Wako wapi waliokamatwa. Majina, sura, familia zao?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣. On the web anyone can write anyhow.
Akili huna wewe kwamba BBC na times of israel wanaweza andika tu wapendacho!?..hizi habari hukuziona kipindi hicho!?🤣🤣🤣🤣🤣🤣. On the web anyone can write anyhow.
Kweli sina akili za kuamini kila habari mtandaoni. Kuna shida nikikosa hiyo akili?Akili huna wewe
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran
Huu muda wa kupiga porojo JF ungekuwa umepeleka chakula Gaza ingependeza sana.Iran wamesema wataweka hadharani nyaraka za nuclear za israel
Hata wakijua itasaidia nini? Badala wapeleke chakula Gaza. Imejua taarifa nyingi za Israel, sasa si iwape silaha Hamas, Houthi na HezbollahHabari zimfikie echolima, Iran wanajua mangapi ya israel!?
Hizo habari za israel kuwa na nukes mbona kitambo zinajulikana,walishiriki kumuua JFK sababu hakutaka wawe nazo,na bwana vanunu (muisrael)alivujisha picha,wakamfunga
Walichopata Iran ni zaidi ya kujua kuna nukes
Sasa kumbe Israel Ina nuklia ndoto za Iran kuifuta Israel itatimiaje je israel akiamua kutumia nuklia Iran itafutwa na yeyeIran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za kijasusi za mossad na shinbet kwa tuhuma za kuifanyia ujasusi Iran.Aidha,mwezi disemba israel ikwakamata wayahudi zaidi ya 30 waliokua majasusi wa Iran
Unazijua nuclear lakini!?..Iran atahitaji kupiga moja tu na israel itafutika, wakati israel atahitaji kupiga tatu au nne kuiunguza Iran yoteSasa kumbe Israel Ina nuklia ndoto za Iran kuifuta Israel itatimiaje je israel akiamua kutumia nuklia Iran itafutwa na yeye
Times of Israel ni gazeti miongoni mwa magazeti mama huko Israel.Kweli sina akili za kuamini kila habari mtandaoni. Kuna shida nikikosa hiyo akili?
Na cha ajabu maarifa mengi waliyapata kwa hao hao mayahudi,enzi wakiwa marafiki.Jamaaa wamefanyia Ujasusi wa kiwango cha Mwana ukome!!! Au SGR ndani ya Israel vitengo nyeti wametatizika Vibaya awajui waanzie wapi!!!!!
Lkn Tukumbuke hiii sio ta Kwanza kufanyiwa Israel na IRAN awa Wairan ni MOTO wakuogopwa,,