Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

Nijuze ni ipi historia yao kielimu?,,
Ideology ya haki za binadamu ilianzishwa na Persians.
Uundaji wa betri ulivumbuliwa na Persians.
Huduma za Posta zilivumbuliwa na Persian.
Utaalamu wa kusafirisha maji kwa mitaro ulivumbuliwa na Persians.

Hivyo ni vichache tu, Kuna mchango wa hisabati pia.
 
Iran mwenye taarifa za nyuklia za Israeli mpaka sasa ameshashambulia vinu vingapi vya nyuklia huko Israeli?

Ameshaua viongozi wangapi wa Israel?
 
Hizo habari za israel kuwa na nukes mbona kitambo zinajulikana,walishiriki kumuua JFK sababu hakutaka wawe nazo,na bwana vanunu (muisrael)alivujisha picha,wakamfunga
Walichopata Iran ni zaidi ya kujua kuna nukes
Namkumbukaga huyo jamaa Mordecai Vanunu Hadi akaamua Kuwa mgalatia. Ila alikamatwa kizembe na Mossad WA like mrembo
 
Mbona hatusikii hata meja au kanali wa IDF kuuliwa ni majenerali tu wa upande wa Iran?, nani atakuwa na taarifa sahihi za mwenzake?
 
Moja ya thread takataka zaidi kuwahi kuanzishwa humu jf! Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…