Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje.........
Si Iran imewatelekeza?

Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan​

The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze drone attack by pro-Iranian militias on a US army position in Jordan.

Tehran says the US claims are an "unfounded accusation" aimed at "dragging" Washington into a conflict.

Iranian Foreign Ministry spokesman Naser Kanani said that "resistance groups in the region do not take orders from Iran for their decisions and actions."

He also claimed that "the repetition of baseless accusations against Iran is a projection and a conspiracy by those who have an interest in dragging the United States into a new battle in the region."
 
kuna mashabiki maandazi wa iran lazima wanune kwa hili kwan iran inaogopa nini si iitambie US tu kwamba yenyewe kwa namna moja au nyingine imehusika, wairan waoga hao kwa maneno ya taarab hawajambo! halafu ndo kuna kobaaaz wanaifananisha iran na US kweli akili 1KB mzigo US ana kambi sehemu kubwa ya dunia, na zipo peupee, sasa iran kutoa vijidrone tu kwa vigaidi vyenzake na sasa anawakana!!
 
Nimecheka sana Bwana Utam
 
Marekani ni lidude kubwa sana, na lina watu wa wengi sana, lina jamiii zote za watu wachina, warusi, wahindi, wajapani, wazungu wote na mataifa mengine.
 
Americant coward sana
Kambi zake za magaidi pale iraq wakati wa trumpet si zilifyekwa na iran akasema kabisa mimi ndio nimezifyeka na magaidi wake wakafyekwa
Ila Americant akaufyata Americant coward sana
 
Tehteh we Gaidi unachekesha eti Iran imejitetea sana Houthi tu anamtoa kamasi Marekani ije kua Iran

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hili jambo liko wazi hao ni rafiki au washirika zake amesha sema Iran, ila wanajiendesha wenyewe kutokana na namna watakavyo ona inafaa, ili linajulikana kabla hata wale jamaa watatu hawajatiwa kwenye jeneza, ila Iran amekuwa wazi amesema anawapa silaha na mafunzo bila kuficha
 
Iran ilisema Gaza ikivamiwa Israel atakuwa kavuka mstari, leo hii Gaza haipo na haitakuwepo milele
 
Marekani ni lidude kubwa sana, na lina watu wa wengi sana, lina jamiii zote za watu wachina, warusi, wahindi, wajapani, wazungu wote na mataifa mengine.
kwahiyo kila mmoja akisema arudi kwenye asili yake kitabaki nini pale US!
 
Waarabu wote duniani hakuna wa kusimama mbele kusema apigane na US hata mmoja hata hao waajemi ( kubwa la magaidi) hawezi kama anaweza apeleke vikosi gaza
 
Americant coward sana
Kambi zake za magaidi pale iraq wakati wa trumpet si zilifyekwa na iran akasema kabisa mimi ndio nimezifyeka na magaidi wake wakafyekwa
Ila Americant akaufyata Americant coward sana
Aliiufta eeh,Suleiman???
 
Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
 
Unataka ushahidi gani sasa wakati Iran ndio anawapa silaha hao wanamgambo? Iran yuko wazi sana kama ubavu mnao mpigeni
 
Unataka ushahidi gani sasa wakati Iran ndio anawapa silaha hao wanamgambo? Iran yuko wazi sana kama ubavu mnao mpigeni

Narudia
Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
 
Hata ile Drone ilio watandika wale wanajeshi watatu wakafa imetoka Iran, sasa unataka ushahidi gani tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…